Jaman Mpigamsuli yuko wapi?

Jaman Mpigamsuli yuko wapi?

Ndio,tena ni mtu mmoja,

Nilimuwashia moto akaamua anianzishie uzi kuwa nimemtongoza huko pm.

Nikamwambia aanike hizo pm nilizomtumia akapotea mazima hadi leo na uzi ukafutwa!

Kumbe ni mtu mmoja? Mbona huyo grace alipenda sana kuongelea habari za mumewe?
 
huyo jamaa id yake iliunganishwa alikuwa ni perry alitumia id nyingine

so perry ndo senetor 001?

Kuna nyuzi za kitambo kidogo zina id ya senetor ila ukiqoute sasa ndo inatokea perry hata sikujua imekuaje!!
 
kumbe ni mtu mmoja? Mbona huyo grace alipenda sana kuongelea habari za mumewe?

danganya toto kama alivyokuwa anafanya aminata mrembo!!

Ukifuatilia aina za thread za mwisho mwisho za aminata ndo alizokuja nazo grace.
 
so perry ndo senetor 001?

Kuna nyuzi za kitambo kidogo zina id ya senetor ila ukiqoute sasa ndo inatokea perry hata sikujua imekuaje!!

Ndo huyohuyo Perry walikua marafiki na Advocate J nafikiri unakumbuka mambo yao yaliendana wakapeana contacts ndo jamaa akaja na fake ID kumuumbua mwenzie hata yeye tumepata data zake ni suala la muda tu
 
Last edited by a moderator:
danganya toto kama alivyokuwa anafanya aminata mrembo!!

Ukifuatilia aina za thread za mwisho mwisho za aminata ndo alizokuja nazo grace.

Kuna mmoja huyo alinitamkia dhahiri yeye ni gay niliishiwa pozi
 
Nakumbuka alikuwa mtu mwenye dharau sana lakin baada ya kuumbuliwa na makachero wa jf sijamuona tena. Hebu kama upo Mpigamsuli nyosha kidole namm nikuone hahahaaaaaaaaaaa! Jf kiboko

Kumbe AMEUFYATA
 
mama yangu!!... Ila nahisi kama boflo na shori hao ninawas was nao

Hahaha taratibu mkuu utafungwa...

Ukiwauliza why mnatumia female usernames jibu wanakwambia kuvutia wanaume
 
Back
Top Bottom