Wkaijage
Senior Member
- Feb 14, 2012
- 195
- 13
ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu
ebhana Sokoine Univ.of Agr. Ni hatar so pga msuli kwa sana.
ilo shaka ondoa watu wa sua ndo inabidi mjipange nasikia si mchezo izo eneo mkuu
wakuu!!!!!habari zenu wote hapa jamvini. nmefurahi sana kuona post zenu kwan kila mtu anawazo la kupiga msuli ile mbaya na si vinginevyo! na mm ni mmojawao wa wale waliokuwa selected pale ud, nmechukuliwa bsc in metallurgy & mineral processin....all in all nawatakieni baraka zote pamoja na heri ktk masomo yenu ili siku moja tukutane tena kwenye applctn xa ajira....Goood luck fellas!!!!
Jamani kuna baba yangu mdogo alinambia BVM lazima usome minyoo 2500 na kuielewa akadai hiyo inatoka kwa wanyama kwenda kwa binadam na kutoka kwa binadam kwa wanyama. Yeye anapiga mzigo kwenye kawizara flani hapa TZ Kama mtaalamu wa wizara.
Wasiwasi wangu ni je, Ze duduz na vijana wako mtapata time ya kuja jamvini?
Ila hiyo course inashavu sana though watu hawamalizi wakiwa idadi kama ile walioanza.
KILA LA HERI.
aksante mkuu we ume2pwa wapi
saaafi mkuu sasa ni msuli time
2nashukuru sana mkuu na pia hongera