Jaman ma-lecturer IFM mna matatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman ma-lecturer IFM mna matatizo gani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maengo, Jul 20, 2011.

 1. M

  Maengo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi haya ni mkuu wa idara ya Social Protection! Kwa kweli jaman dada zetu wanateseka na hii tabia mbovu na chafu!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  Duh!ndio bongo hii mkuu..
   
 3. b

  brianjames11 Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Maengo swala la kuomba ngono ili umsaidie mwanafunzi marks ni rushwa. sasa sidhani kama hapa jamii forum unaweza ukawa umesaidia kuondoa tatizo. Kama huyo mkuu wa idara ya social protection anafanya hivyo unapaswa uthibitishe hilo swala kwenye vyombo husika. Nadhani IFM kuna mkuu wa chuo (unaweza ukampa taarifa kuwa kuna lecturer fulani anafanya hivyo). Pia kuna TAKUKURU unaweza kuwapa taarifa wakafuatilia nyendo zake na kumnasa. Ila kuna tatizo la dada zetu nao wanapenda mambo ya mteremko.kwahiyo TAKUKURU wanapaswa kuchunguza wote maana hata mtoa rushwa anakosa kama mla rushwa. Sheria itachukua mkondo wake kama huyo lecturer ndio anataka rushwa ila pia sheria itachukua mkondo wake kama mwanafunzi ndio anataka kutoa rushwa. ALL THE BEST.
   
 4. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wewe soma dogo acha majungu wenzio wanasoma wanafaulu. Kama wadad wanapenda tatizo lako nini au ulitaka iweje kama siyo hao wadada?
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hawa wanawake ndio maana wakipata nafasi za juu mfano labda aje kuwa waziri au spika jazba kwenda mbele kwakuwa wanajua walivyofika hapo walipo.

  Elimu ya tanzania ni pasua kichwa maana wakati mwingine kumlaumu dada ni kama kumwonea coz akikataa na kumreport lecturer kunapohusika na hatua zikachukuliwa (lecturer amefungwa jela/amefukuzwa) basi hao malecturer wenzake waliobaki wataungana na watakupata tu utake usitake.

  wanaume tunashida sana kwa wapenzi wetu maana ukianza kufikiria possibilities za huko chuo duuuuu...
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu wewe ndo unaleta majungu yeye anaumia madada kulazimishwa ngono wewe unaponda au wewe ndo mkuu wa SP nini..
   
 7. njoro

  njoro Senior Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh. Seriously unatetea uovu?
   
 8. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mh,asee ulvoandka hapo ulishrksha ubongo au utumbo wako ati?
   
 9. b

  brianjames11 Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama wanalazimishwa ngono. Unajua kuna wanafunzi wengi wapuuzi sana, hawataki kusoma alafu wanataka wafaulu tu. Unakuta mtu anaenda dinner masaa kibao akirudi analala, sasa huyo atafaulu vipi?Dawa ya kumkomesha lecturer anayetaka ngono ni kusoma tu, maana akikufelisha una appeal na utapita, maana hata husika yeye kusahisha huo mtihani tena. pia wala hawezi kujua kuwa ume appeal. kwahiyo dawa ni kutokutoa ngono na kusoma ujue mavitu hapo maisha yatakuwa mazuri kwako. Ila mleta mada na yeye hajaiweka vizuri, kwanza ameanza sentensi na dharau, sas sijui yeye ni nani. huwezi kusema pamoja na uduni wake, uduni gani?inabidi afafanue. pia haiwezi kuwa ni lecturers wote labda baadhi, kwahiyo inabidi aweke mada vizuri sio kulipualipua tu.
   
 10. M

  Maengo JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu, ni kwamba management ina mapungufu kibao lakin hayaniumi sana kama hili suala la hawa jamaa! Ndio kuna wale wanafunzi wanojirahisisha lakin pia kuna wale walio siriaz na masomo lakini kutokana na jinsi walivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu hawa jamaa wanataka nao wawaonje! Sasa watawapataje? Ndo maana wanatumia mbinu ya kuwafelisha! Mkuu kutokana na ulivyoandika nadhan umepitia ngazi ya chuo, kwa hyo nina uhakika haya mambo unayajua jinsi yanavyotokea!
   
 11. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Casanova
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  78% inaelekea wewe umesoma nje au chuo cha boys
   
 13. M

  Maengo JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeona eeeh!
   
 14. Catagena

  Catagena Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Both cases are valid......
   
 15. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lakini sio kiivo mkuu! Daaah! Bora nisupp hakyamama kuliko huo u...e! Dah
   
 16. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mmmh! Wadada kazi tunayo! Anyways, cha msingi hapo ni kuwa serious! Sema NO kwa maksi chupi! Kamua, piga msuli wa ukweli alaf shusha vitu,tuone nani atakufelisha!
   
 17. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Du! yaani jamaa hawezi kwenda kusaka machangu ili dada zetu wasalimike? au mdomo wake mzito?
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika Anne makinda kasoma IFM
   
 19. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hao madada wenyewe wanakesha club! hawana muda wa kusoma na wanategemea wafaulu unategemea kitatokea nini akifeli? kama siyo kujipendekeza, au kumtega mwl, na ili msimuone changu basi anajifanya lecturer anamtaka kumbe yeye mwenyewe ndiye anatafuta njia ya kufaulu. Kinachotakiwa pia wasome waache starehe (kwani starehe zina muda wake!)
   
 20. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145  Acheni kabisa hayo maneno! kwani nyie mmekua wa kwnza kusoma???
  Waambie hao mabint wasome kwa bidii wafaulu mitihani na si eti wanafelishwa!
  Kama wanataka marks za bure matokeo yake ni ngono zembe.
   
Loading...