love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
ah... mtoto anaumri gani mpaka aogope..? wanandoa hawatoi mimba labda itishie afya ya mama. na wala hawaoni aibu kwa kuzaa harakaharaka....
Picture please
Picture please
mmmmmmh na nyie sa hivi kila mtu kujifanya picha hadi inakuwa Boring tena
mimba inaweza kuingia na hasa kama ulivyoeleza imebakia siku ,kinachotokea nasikia chembechembe za shahawa zinakuwa zinabaki,nashindwa kuelezea vizuri,ila mtaalamu atakueleza vizurinatumaini mpo poa wana jf!.... Kuna rafiki yang kaolewa na ana mtoto mmoja.kaniomba ushaur kwa atakayeweza na amshauri jaman. Yeye anatumiaga condom lakini jana bahati mbaya amefanya mapenzi na mmewe bila kinga,na bado siku mbili aingie bleed.kiukwel mtoto wao bado mdogo,swal je anaweza kupata mimba na afanyaje?coz hapendi kutoa mimba.
Kina mama, jadilini vizuri na waume zenu habari za familia. Ukubwa wa familia na uwezo wenu kuzilea. Huna haja ya kuzaa watoto usiowaweza. Tena lazima uelewe, malezi ya mtoto sio ugali tuu.
Sasa pamoja na hayo, usioggope kuzaa haraka na mumeo ila jua kwamba itakuongezea jukumu la kulea uzao wako. Kwanza ni furaha kuzaa haraka ili ufikie lile lengo lenu la familia yenu. Wawili au wanne. Ukiwazaa haraka, woote wanahitaji malezi lakini ni kwa mda mfupi tu unakuwa umeachana nao unatoka na kwenda kuwajibika ili usaidie kwenye pato la familia.
Narudia tena zaa haraka, funga kizazi. Lea familia kwa muda mfupi utoke kwenda kuongeza pato lenu. Panga uzazi
Bora uwaambie.. sahiv kila mtu " eka picha tuone" "photo please" kwa kweli inaboa sasammmmmmh na nyie sa hivi kila mtu kujifanya picha hadi inakuwa Boring tena
Sasa nitaamini vipi?
Bora uwaambie.. sahiv kila mtu " eka picha tuone" "photo please" kwa kweli inaboa sasa