kwani hiyo sehemu ya kati kuna sehemu ina chata ya jutia kidole?ninavyojua sehemu hiyo ni maalum na kwa wakati maalum wa kuitumia,na kuitumia kwake unaitumia na vitu vinavyoshabihiana.jamani tujaribu kuheshimu hilo tunda maana watu wanalitumia isivyo,kidole chenyewe kigumu,mwanamke mwenyrwe hajajiandaa unaingiza mavidole,inawezekana umemwumiza na kucha ndefu ulizonazo.