Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
- Thread starter
- #81
Akijua tu muandalie marindaUzuri wanaume wao hawajui .... Ndio maisha ya mapenzi yalivyo.... Unakula wa mwenzio na we wako analiwa..... Toka enzi za mababu.
Akijua tu muandalie marindaUzuri wanaume wao hawajui .... Ndio maisha ya mapenzi yalivyo.... Unakula wa mwenzio na we wako analiwa..... Toka enzi za mababu.
Hahahahaha,,, nimecheka kweli eti no cost no mizinga, cost itakuja badae kikishanukaAfu no cost, no mizinga
Ukishahisi mwanamke anachepuka huyo muache faster, maana mpaka anakuonyesha itakuwa kakuchoka! Ila kama anakuheshimu bado hauwezi kugundua hata kidogo maana wapo very strategicalHahahahaha,,, nimecheka kweli eti no cost no mizinga, cost itakuja badae kikishanuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana wanasema ndoa ni ndoano.Mke wa mtu sumu ni raha kweli kumtafuna lakini siku wakija kukukamata lazima wakufumue malinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeongea with experience sio kwa kubahatisha. Mwanamke yupo nyumbani sawa lkn anachat, jumapili anaaga kwenda church lkn anaishia logde, mind you huwa sio kwa kujiachia ila muda mchache wanaoupata wanautumia effectivelyHonestly, in my circle of women hakuna hata mmoja ambae ana signs za kuwa so uncouth? Ama ndo maana am so selective kwa friends walio katika maisha yangu?
Kwa sababu the women I know wote nawaona wapo responsible. From their offices straight to their homes. Na hata wale ambao nilikuwa nakunywa nao they never stayed late, they always rushed home to their families. On Sundays after churchthey made special lunch then they went out as families and slept early.
Sasa hawa wake za watu kutwa mnawasemaga JF wanabanduliwa ovyo huwa ni wa wapi?
Ama ni tule tudada tukiwa na boyfriend tunasemaga tuna waume 🙄🙄🙄🙄. Ndoa sio tu kuitwa Mrs. Its from the heart weweeee.
Kweli kabisaUkishahisi mwanamke anachepuka huyo muache faster, maana mpaka anakuonyesha itakuwa kakuchoka! Ila kama anakuheshimu bado hauwezi kugundua hata kidogo maana wapo very strategical
ni me au ke 🤔Honestly, in my circle of women hakuna hata mmoja ambae ana signs za kuwa so uncouth? Ama ndo maana am so selective kwa friends walio katika maisha yangu?
Kwa sababu the women I know wote nawaona wapo responsible. From their offices straight to their homes. Na hata wale ambao nilikuwa nakunywa nao they never stayed late, they always rushed home to their families. On Sundays after churchthey made special lunch then they went out as families and slept early.
Sasa hawa wake za watu kutwa mnawasemaga JF wanabanduliwa ovyo huwa ni wa wapi?
Ama ni tule tudada tukiwa na boyfriend tunasemaga tuna waume 🙄🙄🙄🙄. Ndoa sio tu kuitwa Mrs. Its from the heart weweeee.
Hasira zote za nini dada tulia ufumaniweWakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tigo au AirtelUnafanya kazi ofisi gani mkuu??
Sari ball
Strategic planning?Nimeongea with experience sio kwa kubahatisha. Mwanamke yupo nyumbani sawa lkn anachat, jumapili anaaga kwenda church lkn anaishia logde, mind you huwa sio kwa kujiachia ila muda mchache wanaoupata wanautumia effectively
Meke mekeni me au ke 🤔
Wanadundaine.... You never know hao hao they are undercovers somewhere without you spotting anything.Honestly, in my circle of women hakuna hata mmoja ambae ana signs za kuwa so uncouth? Ama ndo maana am so selective kwa friends walio katika maisha yangu?
Kwa sababu the women I know wote nawaona wapo responsible. From their offices straight to their homes. Na hata wale ambao nilikuwa nakunywa nao they never stayed late, they always rushed home to their families. On Sundays after churchthey made special lunch then they went out as families and slept early.
Sasa hawa wake za watu kutwa mnawasemaga JF wanabanduliwa ovyo huwa ni wa wapi?
Ama ni tule tudada tukiwa na boyfriend tunasemaga tuna waume [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]. Ndoa sio tu kuitwa Mrs. Its from the heart weweeee.
Aisee yani mwanamke akikutaka then ukamchomolea anaweza akahama hadi mtaa, siku nyingine unawakataa kidizaini mkuu [emoji38] [emoji38] [emoji38], yani cjui huwaga vipiHuu ni ukwli mtu japo unamaumivu zaid ya kung'olewa kucha
Kuna mdada alijileta mzima mzima nikamwambia Nina mke kasema kwake sio tatizo,,nilivyozidi kumkazia kumbe ndio nazidi kumfanya azidi kudata juu yangu!
Kuna siku tukaonana mahali katika kumhoji kumbe na yy ni mke wa mtu na wana mpaka mtoto,mdada ukimchek ni mbichi kabisa yani ata miaka 24 sijui kama kafikisha
Namuliza kwa nn ufanye jambo LA hatari namna hyo pia kwa nn uniingize kwenye hatari ya kua na mke wa mtu?
Aisee alichonijibu nilijikuta nachoka ghafla ukizingatia bint mwenyewe namjua ad mama yake nilimuomba ajaribu kukaa mbali na mm japo alinielewa kishingo upande na mda si mda aliondoka kwenda masomoni
Nilichojifunza ni kwamba ukigundua mkeo kachepuka piga chini haraka sana maana hyo ni nyoka na mda wowote anaweza kukufwekelea mbali kama hautamuwahi.
Nitamsamehe mwanamke makosa yote ila la kuchepuka atanisamehe ata kama na mm kanivuma bado sintamsamehe asilan!!!
Sent using Jamii Forums mobile app