Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)

Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)

hata wau
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.

Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
Hata wanaume za watu pia, wanagonga sana vitoto vya o'level...!

Usifikiri wanaume nao hawagongi
 
Back
Top Bottom