Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,455
- 185,492
Hayahayaaaaa wanaume mliooa mupoooooooo??? Wake zenu waliwa atii
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mke wa mtu hataniwi,mbaya zaidi wakianza kupekunyuliwa nje wanatoa mpaka siri za ndani huku akikuakikishia usalama wa kutoshaMwanzoni sikujua madhara ya kuwa in touch na mke wa mtu, nikawa najua ni urafiki tu, tena wakati mwingine namtania leo itakuwa shemeji kakukaza vzr mnoo, kumbe nachochea kuni, siku ya siku mwanamke anafunguka nikamle. Nikawasimulia washkaji wakaniambia mbona hilo la kawaida tu!
Ila nilishajiapiza sitakaa nitembee na mke wa mtu
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.
Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
Ondoa shaka mkuuAKIKUTAJIA NITAG
NIKAOMBE JOB HIYO OFISI.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Hii ni fujo sasaHayahayaaaaa wanaume mliooa mupoooooooo??? Wake zenu waliwa atii
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja huyo nilimrespect saana coz hakuwa kuzungumzia weekness za mume wake hata siku moja, Tena alikuwa anamsifia, ila mumewe kila weekend anarudi home saa tisa usiku. Maskini yule dada alitaka tugegedane and she was very serious muda wote toka asubuhi anachat na mm, Niliishia kwenye sex chat tuAisee mke wa mtu hataniwi,mbaya zaidi wakianza kupekunyuliwa nje wanatoa mpaka siri za ndani huku akikuakikishia usalama wa kutosha
Sasa wewe jichanganye umsikilize ndio basi tena..unauwezo ata wakumwambia akalivuroge kwa mmewe wagawane Mali mkaishi wote na akafanya ivyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Kuna wale wanaume wanaoishi mbali na wake zao sijui wana miyoyo ya aina gani au ndio walioa tu wapate cheti wapite iv?
Unaoa alafu unamuacha mke tena kabichi kabisa unaenda zako kuishi mbali kanajeuzwa shamba la bibi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nishuhudia jinzi mademu walioolewa na waume zao wapo mbali wanavyoliwa hapa mjini bibie!Mbona kuna wanaoishi pamoja na hawatulii, hii kuchepuka ni tabia mbaya ya wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Una amini mke wako atapigwa mkuyenge??Hainihusu mkuu ila hofu yangu ni kuwa hata mm yatanikumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nishuhudia jinzi mademu walioolewa na waume zao wapo mbali wanavyoliwa hapa mjini bibie!
Wengine wanadiriki kutafuta mimba kwa majamaa angali waume zao wapo..mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana yaan akichepuka akakutana na mnyooshaji mzuri basi anaweza fanya lolote asimpoteze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote kama usemavyo. Ni hulka ya mtu na mtu. Walio wengi wanajiheshimu sana.Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.
Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
Litola nao wa sampuli hii wapo kweli?Mke wa mtu sumu ni raha kweli kumtafuna lakini siku wakija kukukamata lazima wakufumue malinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi tukawa na takwimu halisi wapi wengi au wachache, ila kuna wakati hata yule unayemdhania eti kuwa anajiheshimu ndio mpuuzi haswaSio wote kama usemavyo. Ni hulka ya mtu na mtu. Walio wengi wanajiheshimu sana.
Jiwe gizaniWakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mpuuzi ana stress za maisha, maana amekuja hapa amepaniki anamwaga povu, sijui anatafuta umaarufu jf
Afu no cost, no mizingaMke wa mtu sumu ni raha kweli kumtafuna lakini siku wakija kukukamata lazima wakufumue malinda
Sent using Jamii Forums mobile app