Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,938
Baraka duniani hapa
Jina zuri au baya hali kuhusuUnajina zuri sana lisilofanana na hii hasira mamii
Compliment tuu dadaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa
Compliment tuu dadaa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi huyo... Kwa kigezo kipi umetumia
AKIKUTAJIA NITAGUnafanya kazi ofisi gani mkuu??
WAKUU,Wakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
WAKUU,
TOFALI LILILORUSHWA GIZANI LIMETUA PUANI HUKUUU !!!!
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.
Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
ndo maana siku zote nasisitiza TUWALE VIZURI hawa wake zetu...Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.
Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
Alikujibu nn embu fungukaHuu ni ukwli mtu japo unamaumivu zaid ya kung'olewa kucha
Kuna mdada alijileta mzima mzima nikamwambia Nina mke kasema kwake sio tatizo,,nilivyozidi kumkazia kumbe ndio nazidi kumfanya azidi kudata juu yangu!
Kuna siku tukaonana mahali katika kumhoji kumbe na yy ni mke wa mtu na wana mpaka mtoto,mdada ukimchek ni mbichi kabisa yani ata miaka 24 sijui kama kafikisha
Namuliza kwa nn ufanye jambo LA hatari namna hyo pia kwa nn uniingize kwenye hatari ya kua na mke wa mtu?
Aisee alichonijibu nilijikuta nachoka ghafla ukizingatia bint mwenyewe namjua ad mama yake nilimuomba ajaribu kukaa mbali na mm japo alinielewa kishingo upande na mda si mda aliondoka kwenda masomoni
Nilichojifunza ni kwamba ukigundua mkeo kachepuka piga chini haraka sana maana hyo ni nyoka na mda wowote anaweza kukufwekelea mbali kama hautamuwahi.
Nitamsamehe mwanamke makosa yote ila la kuchepuka atanisamehe ata kama na mm kanivuma bado sintamsamehe asilan!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni sikujua madhara ya kuwa in touch na mke wa mtu, nikawa najua ni urafiki tu, tena wakati mwingine namtania leo itakuwa shemeji kakukaza vzr mnoo, kumbe nachochea kuni, siku ya siku mwanamke anafunguka nikamle. Nikawasimulia washkaji wakaniambia mbona hilo la kawaida tu!Huu ni ukwli mtu japo unamaumivu zaid ya kung'olewa kucha
Kuna mdada alijileta mzima mzima nikamwambia Nina mke kasema kwake sio tatizo,,nilivyozidi kumkazia kumbe ndio nazidi kumfanya azidi kudata juu yangu!
Kuna siku tukaonana mahali katika kumhoji kumbe na yy ni mke wa mtu na wana mpaka mtoto,mdada ukimchek ni mbichi kabisa yani ata miaka 24 sijui kama kafikisha
Namuliza kwa nn ufanye jambo LA hatari namna hyo pia kwa nn uniingize kwenye hatari ya kua na mke wa mtu?
Aisee alichonijibu nilijikuta nachoka ghafla ukizingatia bint mwenyewe namjua ad mama yake nilimuomba ajaribu kukaa mbali na mm japo alinielewa kishingo upande na mda si mda aliondoka kwenda masomoni
Nilichojifunza ni kwamba ukigundua mkeo kachepuka piga chini haraka sana maana hyo ni nyoka na mda wowote anaweza kukufwekelea mbali kama hautamuwahi.
Nitamsamehe mwanamke makosa yote ila la kuchepuka atanisamehe ata kama na mm kanivuma bado sintamsamehe asilan!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Kuna wale wanaume wanaoishi mbali na wake zao sijui wana miyoyo ya aina gani au ndio walioa tu wapate cheti wapite iv?Wakigegedwa wewe inakuhusu nini mind ur business kwani wanajigegeda wenyewe au na wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
We unawasema hao wakati mwanamke anaishi na mume afu anajitongozesha kwa mwanaume aliye mbaliMwanzoni sikujua madhara ya kuwa in touch na mke wa mtu, nikawa najua ni urafiki tu, tena wakati mwingine namtania leo itakuwa shemeji kakukaza vzr mnoo, kumbe nachochea kuni, siku ya siku mwanamke anafunguka nikamle. Nikawasimulia washkaji wakaniambia mbona hilo la kawaida tu!
Ila nilishajiapiza sitakaa nitembee na mke wa mtu