Jamal Malinzi: Ligi Kuu bara kuwa na Timu 16

Jamal Malinzi: Ligi Kuu bara kuwa na Timu 16

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Kupitia ukurasa wake wa Twitter,ameconfirm hivyo.

Hizo timu 2 za kuongezea zitachukuliwa zipi?
 
Huyu naye!. Mpira hauendeshwi kwa porojo za kwenye media.
Tuingize kwenye world cup period!.....
 
Ziongezwe tu hata 20. hii itawafanya wachezaji kuwa na mechi nyingi za ushindani na wataacha kulala kwa kukosa kazi.
 
ni wazo zuri haya sasa kipato cha timu ndo kinatakiwa sasa na sio kujaza mitimu inayokuja kugawa ushindi ovyoo...
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter,ameconfirm hivyo.

Hizo timu 2 za kuongezea zitachukuliwa zipi?

Si Hapo tu bali Hata Wachezaji Wa Kigeni Sasa Watakuwa Kati Ya Watano au Saba Na Si Watatu Tena ( Wiki Ijayo Itatangazwa Tega Tu Masikio ). Kuhusu Ni Timu Zipi Zitachukuliwa Ni Kwamba Ukiachilia Mbali Timu Zilizopanda Ligi Kuu Ndanda FC, Polisi Morogoro Na Stendi United Ni Kwamba Ashanti United Iliyoshuka itarudishwa Kwa Mgongo wa Best Loser ( Na hii Ikiwa Ni Haswa Kwa Shinikizo La Kisiasa Ukizingatia Mwakani Kuna Shughuli Tanzania ) Na Kwa Taarifa Yenu tu ili Timu Kutimia Hizo 16 Timu Ya Mwadui Shinyanga Ambayo Ilinyang'anywa Tonge Mdomoni Sasa Nayo Inapanda Ligi Kuu baada Ya Kupiga Mkwara Kuwa Wanakwenda FIFA Kudai Haki Yao na TFF Wakagundua Kuwa Waliwaonea na Kama Wangeenda FIFA basi Soka La Bongo Lingepigwa Pini Kutokana Na Bonge La Kashfa Ambalo Lingeibuliwa na Lililo na Ushahidi Wa Kutosha. Stendi United Imepanda Kisiasa............... Mchakato Mzima Ndiyo Huo Na Kama Niliyoyaandika Hapa Hayatatokea Basi Kila Mwana JF Humu Anidai Ng'ombe Wa Maziwa Kutoka Uzanakini Kwetu Butuguri Mkoani Mara. Tupo Pamoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nawaza huenda kuna ajenda ya kumbeba Julio? (Kahama United)
 
Jamal Malinzi ana ilani yake (baadala ya mpango mkakati wa Tff) ya mambo yote tumpe muda!

Kaka kila kiongozi akiingia na yake kuna la maana hapo, Huwezi kuingia sehemu na kuanza kubadilisha kila kitu kilichokuwepo pale

Malizi anaingiza siasa kwenye soka
 
Duh! hebu rekebisha, hakuna kitu kama hicho duniani.

Dah..! Bi Kifimbocheza unatisha utaki mchezo yaonekana we ni mHKL au KLF, ila safi sana maana kiswahili kinatutatiza wengi hasa kwenye matumizi ya H na L n R, kwa mwendo huu tunaelimika pia.
 
Wazo zuri sana naona tumechelewa, itakuza ushindani wa soka
 
nilivyosikia mimi ashanti analudishwa kwenye ligi, then wanachukuwa timu tatu ambazo zilishiliki kwenye mashindano ya kupanda daraja ambayo ni
MWADUI,LION na timu nyingine ambayo ilikuwa ya pili kweyekundi la polisi moro harafu wanacheza mtindo wa ligi ambao wakwanza na wapili ndio watapanda ligi kuu,mtindo huo wa ligi utakuwa kila mtu atacheza mechi mbili..
mtazomo wangu
wangechanganya timu tatu zilizo shuka na tatu ambazo zilikuwa washindi wapili kwenye ligi ya timu ambazo zimepanda daraja...
 
"harafu" hiri rinajiita rizarendo!
 
Back
Top Bottom