Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 Feb 23, 2013 #2 inabidi hiyo katuni iwafikie wahusika wa mambo ya elimu
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,294 Feb 23, 2013 #3 kijana15 said: inabidi hiyo katuni iwafikie wahusika wa mambo ya elimu Click to expand... Wanajibu kwani nani asiyejua watoto wanafeli!!!!!
kijana15 said: inabidi hiyo katuni iwafikie wahusika wa mambo ya elimu Click to expand... Wanajibu kwani nani asiyejua watoto wanafeli!!!!!
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Feb 23, 2013 #4 Wingi wa magari kwenye foleni = Uchumi umekua kwa kasi. Wingi wa vyumba vya madarasa bila walimu wakutosha = ????????????????
Wingi wa magari kwenye foleni = Uchumi umekua kwa kasi. Wingi wa vyumba vya madarasa bila walimu wakutosha = ????????????????
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Feb 23, 2013 #5 Hahahaha!hiyo speed tunayoshuka nayo!nafikiri mzugu alisikilizia upepo tu!
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 23, 2013 #6 ujumbe umefika