Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,492
- 176,558
marahaba doughter, naona baba yako hapo juu anajitoa ufahamu, mwambie asione kobe kainama......Shikamoo mama
marahaba doughter, naona baba yako hapo juu anajitoa ufahamu, mwambie asione kobe kainama......Shikamoo mama
noo umalaya ni first fursa baadae, na kwa watoto wa kiume ndio kabisaaaa ndio maana wanaolewa siku hizi.Hahaaa fuatilia mjadala sista, hilo la umalaya ni second ila first michepuko ni fursa
Teh anajifanya kakusahaumarahaba doughter, naona baba yako hapo juu anajitoa ufahamu, mwambie asione kobe kainama......
ndio hivyo my kaka, sasa unadhani akikosa wanawake wa kumhonga atafanyaje na hayo ndio maisha yake? basi anahamia upande wa pili.Hahaaaa duuuh, kazi ipi kizazi hiki