Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Teh teh..Mbona unataka kunifunga breki ..Ebu niacheSimple kama maisha yako hayana thamani teh
Teh teh..Mbona unataka kunifunga breki ..Ebu niacheSimple kama maisha yako hayana thamani teh
Nenda tu, ntahesabu sina babaTeh teh..Mbona unataka kunifunga breki ..Ebu niache
Yaani ukisema kwako kuna ungua jua kwa jirani kunateketea.Hahaaaaaaa nami nimechoka duuuh fursa hizi hatariii
Duuh..Basi nimeghairiNenda tu, ntahesabu sina baba
Heaven Sent Njoo umshauri na kaka yako huku..Anataka kutumia fursaUkimpata yule wa Filikunjombe (RIP) nistue tufaidi ule mghorofa na zile prado sijui v8
Khaaaa ushanibamba kumbe!!! nimefuta kauli aiseeeHeaven Sent Njoo umshauri na kaka yako huku..Anataka kutumia fursa
Aaah nyie Nendeni tuHeaven Sent Njoo umshauri na kaka yako huku..Anataka kutumia fursa
Khaaaa ushanibamba kumbe!!! nimefuta kauli aiseee
Teh dawa yenu ni maombi tuHahaaa naona umejikatia tamaa kutuasa, teh
Shikamoo mamamy kaka mito mimi sichepuki bwana, kwahiyo wanaochepuka hata sijui wanatafuta nini, ila kikubwa ni umalaya tu, kuchepuka hakuna justification.