Jamaa yangu michepuko yake yote wajane

Jamaa yangu michepuko yake yote wajane

Kwanza nikiri wazi kuwa mada ya "Ulishawahi kujutia mchepuko?" ndo imenikumbusha hii habari ya huyu bwana nikaona nishee nanyi pengine kuna kitu cha kujifunza.

Ni mume mwenye mke wa ndoa kabisa plus watoto wa kutosha tu wanao. Sema jamaa hajichanganyi sana, yuko very isolated, yeye na mambo yake tu mwenyewe, hashei na mtu mambo yake binafsi. Ila wenye jicho la tatu ndo tunaelewaga kinachoendelea.

Jamaa ana michepuko 3 (at least nayoifahamu), na yote ni wajane wenye maisha yao. Yaani jamaa kazi yake kunusa wapi kuna msiba wa kibosile hapa town, then ajipange kummendea mjane baada ya siku za majonzi kuisha. Tunahisi hawa wajane wake ndo wanamuweka hapa mjini coz jamaa haieleweki anafanya kazi gani rasmi, lakini anaishi na familia inaishi. Kama nilivogusia wajane wake ni wale mambo poa. Kuna mmoja huyo hadi kamnunulia gari jamaa anakula nayo maisha hapa town. Tunajiulizaga alimsaundishaje mke wake tunashindwa kupata jibu la maana.

Tukubali tu kuishi mjini mipango, na kila mtu ana mipango yake!!
Mfano Kaboom yeye anauza vifuniko vya wadada, na wateja wake wakubwa ni atoto , Heaven Sent au wale wakaka dizaini za kina sumbai wanaotoka na mademu wakali kina cute b

Halafu housegirl nimekumbuka kitu! Kama nilivokwambia siku ile, suala la michepuko ni very complicated, si rahisi kama tunavyolijadili hapa, coz watu wanaregister michepuko kwa sababu maalumu au kwa malengo maalumu. Wale wanaochepuka for fun ni wachache sana, na hawa ni rahisi sana kuacha. Ni kama yule shost aliyemsema Sky Eclat ktk comment #42 kwenye uzi wa "Ulishawahi kujutia mchepuko"
Lakini wale wa kufuata fursa kama jamaa yangu ni ngumu sana kuacha aiseee
Safi saaanaaaa,nimefurahiaaa jamaa anavyotumia fursa,sasa wewe mwenzetu una nini zaidi ya huyu kunguru mla wajane? hebu dadavua basii.
 
Mmh hizi fursa nyingine
Hahaaaa inabidi tu ujiandae kisaikolojia my sista, watu wana mbinu zao za kuishi mjini teh!

The bottomline michepuko ni fursa zaidi kuliko umalaya, ahaaaaa sidhani kama unakubaliana na ukweli huu
 
Hahaaaa inabidi tu ujiandae kisaikolojia my sista, watu wana mbinu zao za kuishi mjini teh!

The bottomline michepuko ni fursa zaidi kuliko umalaya, ahaaaaa sidhani kama unakubaliana na ukweli huu
Mbona sijabisha teh
 
Safi saaanaaaa,nimefurahiaaa jamaa anavyotumia fursa,sasa wewe mwenzetu una nini zaidi ya huyu kunguru mla wajane? hebu dadavua basii.
Mmh sina kitu kwa kweli, sema nilimshangaa sana at first, baadae ndo nikaja kuelewa kumbe jamaaa anatumia fursa
 
Mmh hilo mbona wanalijua ila wanatafutaga tu cheap justifications. Afu na victims wenyewe (wanawake) wanajionea sawa tu, mbona kumfunga paka kengele ni kazi
Basi inabidi tushirikiane kuelimisha watu sasa, manake kutwa hmu watu wanakomaa kumlaumu mke eti ndo sababu ya mume ku-cheat
 
Hebu fafanua mkuu?
Mwanamke yeyote aliefiwa na mme ni NGEKEWA,hili neno watu wengi wanalijua na maana yake,sasa kwa muktadha huo nakuomba fanya speed umpate mmoja,na wakati ukiwa na mahusiano nae hakikisha unanyofoa vuzi moja tu kutoka kwenye papuchi yake bila yeye kujua,chukua hilo vuzi tia kwenye pakiti ya nylon halafu weka mfukoni uwe unatembea nalo kila wakati hata ukilala wekA kwenye mfuko wa pyjama yako,subiri wiki tatu tu utashanga deal za kufa mtu zinajileta kwako KIMSWANO MSWANOOOOO.
 
Duuuuuh aisee hii kali kuliko, ndo naisikia leo
Halafu najaribu ku-imagine hilo nanii unalipataje kwa jinsi walivyo wasafi siku hizi, nina miaka sijaona .... la mwanamke teh!

cc Heaven Sent
 
Duuuuuh aisee hii kali kuliko, ndo naisikia leo
Halafu najaribu ku-imagine hilo nanii unalipataje kwa jinsi walivyo wasafi siku hizi, nina miaka sijaona .... la mwanamke teh!

cc Heaven Sent
Huo wanga sasa. Teh ulitaka uyaone wapi tena? Wapo wanaosuka ujue
 
Natamani kumsikia NANDERA na Evelyn Salt kwenye uzi huu
eh! sasa kwani mimi mjane? mimi kina marioo nimeshawakemea kwa jina la Yesu. Hakuna jipya chini ya jua; wanadamu majike kwa madume wanaangalia penye fursa. Sasa kama mtu hana maadili, hana akili ya kufanya kazi ya halali, kwake msingi ni sehemu za siri utamfanyaje? Ole unakuwa kwa hawa wajane tu maana wajasiriawajane/agane wapo siku zote kuchangamkia fursa. Kufa kufaana.
 
Duuuuuh aisee hii kali kuliko, ndo naisikia leo
Halafu najaribu ku-imagine hilo nanii unalipataje kwa jinsi walivyo wasafi siku hizi, nina miaka sijaona .... la mwanamke teh!

cc Heaven Sent
Kulipata vuzi ni kama kusukuma mlevi,we mwambie baby mimi napenda KICHAKA huko kweny NANILIU yaani napenda kuyalamba lamba MAZIVU kama vile nakula FENESI baasi umeloga yaani MSITU utaachiwa hapo hadi NYAU haonekani mpaka tochi ya mawe sita,hapoo sasa kama Unalamba FENESI huku unafanya PALIZI.
 
Huo wanga sasa. Teh ulitaka uyaone wapi tena? Wapo wanaosuka ujue
Basi baaasi umenimaliza bebi,maana mimi ya kusuka ndio ugonjwa wangu,yaani naugua nisipoyaona,tafadhali njoo PM,aaaaish aaah aaaah aaaaaah ooooooh namwaga sumu sasa umeniponza bebi.
 
Umasikini unaliandama taifa hili kwa kuwa tunatumia muda mwingi kufanya au kufuatilia mambo yasiyo na tija kwenye maisha yetu....ni ubaya zaidi wanaofanya hivyo ni vijana ambao ndio hasa wanaotakiwa kuliendesha gurudumu la maendeleo la taifa hili kwa utendaji wao huko kwenye shughuli za kulijenga taifa........

Vijana kama wakiacha UMBEYA NA KUJIKITA KWENYE MAMBO YENYE TIJA KWENYE MAISHA YAO....hakika taifa letu litainuka.....
 
Back
Top Bottom