Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,510
- Thread starter
- #21
Ni jamaa yako au wewe mwenyewe!!?
Hapana mkuu
Ni jamaa yako au wewe mwenyewe!!?
JF raha sana, Ukitaka kucheka muda wote pitia threads za humuBaby unamjua Sanchez magoli?
Ndio mtarajiwa wangu siku hizi....nisubiri subiri kidogo nikiachika nakuahidi nitarudi kwako tuendeleze mapenzi yetu
Kama anacare waliomzalisha watoto wawili wako wapi?
Kwa hizo sifa huyo jimama anazomwagiwa...kwa nini hana mume kabla ya jamaa yako? Maana hujasema dosari hata moja ya jimama
Baba watoto wake yuko wapi?
Huyo jamaa yako anatumiwa!!! Hamu ya jimama ikiisha huyo jamaa yako atatafutiwa usafiri wa bajaji ajue mwenyewe anakoelekea.
Anataka pesa tu huyo kijana [emoji23]
Yani miaka 39 ndio Jimama?
Ukute dogo ana miaka 20Yani miaka 39 ndio Jimama?
Acha watu wapendane ..na nyie tafuteni wenuKwanini msijiulize nyie mnaohamia kwa mijimama mnakwama wapi?
Nyama ni nyama tu,huyo jamaa yako amekimbilia umarioooo....vijana wa kiume mnakwama wapi aseee!!
Ukubwa dawa asee!!!Na jamaa yangu tunapiga nae kazi campun moja sasa hyu msela kajipatia jimama ni zuri sana kwa umbo, sura, lina stake afu jeupe yaan ni mashaallaahh!!!., Hili jimama ni lina pesa asee hatar ni mtu mkubwa sana moja ya bank maarufu hapa nchini so pesa kwake ni kitu kidogo. Lina watoto 2 tu mmoja yuko form6 na mwingine std4. Hyu mama age yake ni 39 yrs
Jamaa anasema hafikirii sahiv kuwa na mwanamke mwingine au kumcheat hyu mama coz huyu mama kajitoa sana kwake, yani anampenda sana jamaa yangu. Jamaa anaendelea kunipa story kuwa mapenz ni hadharan yani anaheshima sana hyu mama jamaa anatambulishwa kwa marafiki wa hyu mama, jamaa anahudumiwa kama mme sahiv jamaa anapewa mahaba ambayo anasema ever hajawai pata maishani akaenda beyond zaid kuwa baada ya kwichi hyu mama huwa anakanda mkuyenge wake kwa maji ya vuguvugu yani ni mapenzi moto.
Jamaa anasema hyu mama kwakwel anamfanya kuona wadada wa age
Jamaa kashatambulishwa kwa wanae sahiv na hawa watoto wana adabu kwa bamdogo wao mpya. Jamaa kanikutanisha jana na hyu mama., asee hyu mama ni fire anacare so poaa mpaka nkaanza ona wivu[emoji3]
Akina dada mnakwama wapi?? Vijana wamehia hku kwa mijimama shida ni nini nyie dada zetu??
Kuna mtu ambaye hapendi pesa..muhimu ni kuwaacha wapendanao wapendane kwa nafasi sisi tubaki watazamaji na kuwatakia heriAnataka pesa tu huyo kijana [emoji23]
Jamaa ana bahati sana
Kuna mtu ambaye hapendi pesa..muhimu ni kuwaacha wapendanao wapendane kwa nafasi sisi tubaki watazamaji na kuwatakia heri
Ukute dogo ana miaka 20
Basi wa miaka 39 kwake ni jimama
Sitaki kujua ila utambue pamoja na kucare kote lakini anakasoro. Hakuna mtu anayeacha kizuri kama hakina kasoro. Kama waliopita wamesepa inabidi ajiandae kisaikolojia maana majimama mengi yameathirika na UKIMWI. Ni suala la muda tu utakuja na uzi mpya japo umeandika kama kumwakilisha rafiki yako lakini ni wewe unayetoka na jamaa.Mkuu unapenda udaku ujue ili[emoji23]