skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,390
Hapo umenena, afuate ushauri huo, mambo yakumpiga mgoni wakati labda yeye ndio chanzo cha mke kutoka hayakubaliki.
Hasa ndivyo hivyo asikurupuke
Hapo umenena, afuate ushauri huo, mambo yakumpiga mgoni wakati labda yeye ndio chanzo cha mke kutoka hayakubaliki.
Anaenda kufumania ili aweje au apate nini??????? kama mwanamke kachepuka ajue kwake kuna kitu kinamisi pesa au nguvu za kiume.
Akae tu aboreshe hayo ili mwanamke atulie,, asiende kujidhalilisha huko bure.
Kama mwanamke anaona jamaa hana pesa au nguvu za kiume kwa nini asiondoke moja kwa moja aende kwa hao wenye hivyo vitu badala yake anamng'ang'ania mume wake? Acha unafiki.
Mtu kama unaona mwenza wako hakufai uamuzi wa busara ni kuachana uende kwa hao wanofaa kinyume chake ni unafiki.
Jamani leo saa kumi jioni kuna rafiki yangu anaenda kumfumania mkewe. Amepewa information zote kuhusu mke wake na guest ambayo huwa anapenda kuitumia wanapokutanaga na huyo mtu wake.
Sasa hapa ameniuliza nini cha kufanya endapo akifika na kumfumania mkewe aanze na kufanya nini?
Kaeni tayari kwa mrejesho
ndungu nadhan unaongea usichokijua,, yaani ni mke wako wa ndoa unakuwa unajua kabisa mida flani mkeo ana appointment ya kwenda kuliwa huko nje nå njemba flani halafu unamwacha anaenda kugegedwa vizuuri anardi nyumbani eti hamlali pamoja unasubiri mpaka uite wazee waje wawasuruhishe? utakuwa ni zaidi ya ----- Hata kama nilibwata sio kihivyo bac
Mwambie asiende na mtu mwingine yeyote ila yeye peke yake, kisha akiwakuta sifanye jambo lolote ahakikishe tu kwamba mke wake ameuona na amejua na huyo mgoni wake pia. Kisha arudi nyumbani kupumzika, mke wake akirudi nyumbani asimsemeshe chochote kuhusu tukio. Na aendelee na maisha na mke wake kama kawaida. Kwa kufanya hivi mke wake atajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu na ni psychological torture kwa mke wake na hatorudia tena ila mwisho wa siku amsamehe.
Eti eeehhh usikute anakosa dushelele ama mkwanja
Ndiyo angalie Kwa umakini asiwe na hasira ya kufumania awe na furaha kuusoma mchezo unaomkimbiza mama nyumbani
Hapo umenena, afuate ushauri huo, mambo yakumpiga mgoni wakati labda yeye ndio chanzo cha mke kutoka hayakubaliki.
Kama mwanamke anaona jamaa hana pesa au nguvu za kiume kwa nini asiondoke moja kwa moja aende kwa hao wenye hivyo vitu badala yake anamng'ang'ania mume wake? Acha unafiki.
Mtu kama unaona mwenza wako hakufai uamuzi wa busara ni kuachana uende kwa hao wanofaa kinyume chake ni unafiki.
Wakati labda yeye ndio chanzo cha mke kutoka...na vipi kama Mume wake si chanzo na anamridhisha?
unadhani ni simply vyote kuwa perfect? kwann mke asiwe mvumilivu au unataka kusema huyo mwanamke yuko perfect?Anaenda kufumania ili aweje au apate nini??????? kama mwanamke kachepuka ajue kwake kuna kitu kinamisi pesa au nguvu za kiume.
Akae tu aboreshe hayo ili mwanamke atulie,, asiende kujidhalilisha huko bure.
Una uhakika gani kama hilo ndilo linalomfukuza? Nani kakuambia wote wanaoisaliti ndoa ni hawaridhishwi? Usikariri mkuu,kama mwanamke ni mhuni/msaliti hata umpe nini atatoka nje kwahiyo usifikirie tu hiyo sababu moja,wengine wabananganywa na story za wenzao.
Mkuu ni naamini uyasemayo lakini pia sababu ya mwanao kukodolea macho ubwbwa kwa jirani wakati kauacha nyumbani jua fika mwanao hajashiba kama umempa mapenzi ya dhati mkeo Kwa upendo kamwe hawezi kukusaliti kumbuka mmeoana Kwa sababu mmeridhiana katika upendo sasa ukiona mume au Mke kachepuka tambua kuna mapungufu makubwa ndani ya ndoa