Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Nimesikiliza leo katika kipindi cha pata pata Wapo radio kuna jamaa mbezi juu alikuwa na nyeti ndogo kila akioa wanawake wanamkimbia alipo pata mke wa nne rafiki yake akamshauri atumie dawa za kichina apake mara 2 nyeti zitanenepa na kweli baada ya siku kadhaa mambo yakawa mazuri jamaa akawa anamridhisha mke wake alichokosea akazidisha akaendelea kupaka tu nyeti sasa zimevimba mithili ya kiloba cha unga wa azam anashindwa kutembea yeye analala tu na mwanamke amemkimbia anadai zina uzito wa kilo 9.
Mapenzi kweli mazito.
Bwana Asisiwe sana!
Kaka hata wewe unaisikiliza hii radio basi Yesu yu karibu kurudi.
Ngoja niendeleze maombi!