Jamaa yamemkuta

Nimesikiliza leo katika kipindi cha pata pata Wapo radio kuna jamaa mbezi juu alikuwa na nyeti ndogo kila akioa wanawake wanamkimbia alipo pata mke wa nne rafiki yake akamshauri atumie dawa za kichina apake mara 2 nyeti zitanenepa na kweli baada ya siku kadhaa mambo yakawa mazuri jamaa akawa anamridhisha mke wake alichokosea akazidisha akaendelea kupaka tu nyeti sasa zimevimba mithili ya kiloba cha unga wa azam anashindwa kutembea yeye analala tu na mwanamke amemkimbia anadai zina uzito wa kilo 9.
Mapenzi kweli mazito.

Bwana Asisiwe sana!
Kaka hata wewe unaisikiliza hii radio basi Yesu yu karibu kurudi.
Ngoja niendeleze maombi!
 
nyeti nazo bana,lol!wenye ndoa zao hawanaga komment kwenye hili....!NI MAPITO TU HAYA
 
Bwana Asisiwe sana!
Kaka hata wewe unaisikiliza hii radio basi Yesu yu karibu kurudi.
Ngoja niendeleze maombi!

Hahahaha mpwa hii radio kila siku asubuhi na jioni lazima nile news si unajua wapo juu sana kwa habari.
 
hivi jamani, nasikia tu watu wakilalama eti nyeti ndogo, kwani nyeti ndogo zikoje? zinaurefu gani? zina unene gani? sasa nyeti ya ukubwa gani ndiyo inasemekana ni ya wastani?

kwa kweli pape na mm natakakujua hope magreatthinker watatusaidia hapa
Naombeni kwa 'figures'...kitu kidogo inaukubwa gani? inch 0.5, 1, 2, 3, 4, 5 etc
 
kwahiyo walio na 'vitu' vidogo wanaona noma au inakuwaje?

Anaelewa huu mtarimbo ni mdogo ni mwanamke wewe unaona kawaida tu lakini mwanamke akasema mwanaume wenyewe anakitu kidogo kama chaki au bamia ukihema kinachomoka.
 
Mbona za sili zipo? Aje kuniona tutaipungza iwe size anayotaka. Ila atashindwa kuhimili mishindo miwili kwa mfululizo.
 
Anaelewa huu mtarimbo ni mdogo ni mwanamke wewe unaona kawaida tu lakini mwanamke akasema mwanaume wenyewe anakitu kidogo kama chaki au bamia ukihema kinachomoka.

du kumbe so ukitaka kujua ni mpaka upate mwanamke jamani kina pearl tenda hiyo tupeni majb fasta fasta ndefu inakuwa na urefu gani na fupi inakuwa na urefu gani basi
 
Anaelewa huu mtarimbo ni mdogo ni mwanamke wewe unaona kawaida tu lakini mwanamke akasema mwanaume wenyewe anakitu kidogo kama chaki au bamia ukihema kinachomoka.
kudadeki, haya haya! kama chaki tena! afadhari ya bamia (bamia zingine ni nene)
 
kudadeki, haya haya! kama chaki tena! afadhari ya bamia (bamia zingine ni nene)

kwaiyo yakwako kama bamia ila bamia zingine kubwaaaaaaa zingine ndogooooooooo yy anazungunzia ipi watupe na vipimo pls
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom