Jamaa na ubwabwa wa msibani........


only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,341
Points
2,000
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,341 2,000
Jamaa mmoja alihudhuria msiba wa jirani na rafiki yake mpendwa aliyefiwa na baba yake, na baada ya kufika akakuta chakula kimeisha, mazungumzo yake na mfiwa yalikuwa hivi:

Jamaa: Yani jirani upendo umepoa sana, umeshindwa kuniwekea hata wali kidogo?

Mfiwa: Samahani jirani ni msongo na kupitiwa kwasababu ya maumivu ya kumpoteza ndugu yangu.

Jamaa: ok!! Hamna nouma hata mimi nitafiwa tu, tutaona!!!
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,938
Top