Jamaa na tigo niwezeshe..

Jamaa na tigo niwezeshe..

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Kuna jamaa alikopa Tigo niwezeshe,jamaa hakulipa deni lile kwa siku kama tatu hivi.

Siku moja akiwa kwenye barabarani akaona hiace yenye maandishi,nembo na picha za tigo likielekea usawa wake,jamaa kuona hiace ile akaamua kukimbia vichochoroni akijdhani wale jamaa wa tigo wamekuja kumkamata kwa kutokulipa Tigo niwezeshe........
 
Back
Top Bottom