Jamaa alikuwa anamtumia ndugu yake. 100,000 M-PESA bahati mbaya akakosea namba ikaenda kwa mtu mwngne,akawaza pesa yke ataipataje?akaamua kumtumia jamaa msg ' Mpendwa tunategemea umepata pesa yetu ya kuingizwa freemason kinachofuatia ndugu zako 3 watafariki ndani ya nusu saa kuanzia sasa na baada ya hapo nenda njia panda yoyote utakuta mtu wetu atakupa damu ya kiapo na nguo rasmi,kila la heri" baada ya dk 2 akapokea msg ya kurudishiwa M_PESA yake, usifanye masihara na mkwara wewe!