Kessy Hamisi
Member
- Jun 25, 2012
- 24
- 8
Kuna jamaa alipata ajali mbaya sana kwa bahati nzuri hakufa sema bajaji ilimbana kwenye mti na kumfanya azimie.Watu walikuwa wanapita bila kumpa msaada unajua kilichomponza ni nini?Kwenye bajaji yake kwa nyuma aliandika hivi "NIACHENI KAMA NILIVYO HAYA NDIO MAISHA YANGU"