Jamaa na bajaji yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamaa na bajaji yake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kessy Hamisi, Jul 18, 2012.

 1. K

  Kessy Hamisi Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa alipata ajali mbaya sana kwa bahati nzuri hakufa sema bajaji ilimbana kwenye mti na kumfanya azimie.Watu walikuwa wanapita bila kumpa msaada unajua kilichomponza ni nini?Kwenye bajaji yake kwa nyuma aliandika hivi "NIACHENI KAMA NILIVYO HAYA NDIO MAISHA YANGU"
   
 2. piper

  piper JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Message sent and delivered
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wazaramo watakuwa wamekusikia, maana wakinunua baiskeli tu utajua bango kila sehemu.
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haha..tanteee
   
 5. M

  Malumbizo Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du mwanangu hapo umeua
   
 6. K

  KIDOSHO Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hahahah kweli hapo umemaliza kila kitu
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ukinitoa we demu wangu ukiniacha una chuki binafsi
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Dah! Ila kweli saa zingine tuwe tunaangalia na vitu vya kuandika, sasa huyu kakutana na masahibu ya kujitakia
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  This message has been deleted.
   
 10. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  na watu wakamwacha na maisha yake/....safi hiyo!!
   
Loading...