Nilishashuhudia hii. Bwana harusi akiibuka huko ana gstring kwenye meno. Sijui ni tamaduni gani hii! Heri sie tunajivalia maskintite machafuuu, akisogea hapo repulsive pangent smell inamkimbiza. Kongosho njoo uone
Anakwenda chumvini adharani je kwenye kiza si ndio wanakwendaga hadi kutigo..........................alafu awe makini midomo inaunguaga hiyo inakuwa myekundu. Alafu anajitafutia balaa kwa wadada wanao muona maana wanajua jamaa anajua kulamba lamba
On a serious note, kuna mtu anaweza kutuambia hilo tukio lilikuwa na maana gani au angalau atupe context ya kufanyika kwake.....kuna kitu cha 'kujifunza' hapa. Mbuzi Mzee