Iran imesha activate ADS.IAF inashambulia Yemen na Tehran kwa wakati 1, anga dogo ndege 200 angani
Inaonekana Saudi, Jordan wameacha anga zao zitumike
Achana naye huyo amedata na maisha.Acheni kupangia Watu vitu vya kuandika
View: https://youtu.be/hd12I638zdI?si=vsDPWFTtXWvNeBVf
Soon Israel itaanza tumia US Satellite Laser Weapon, hii ni moto wa jehanamu
View: https://youtu.be/hd12I638zdI?si=vsDPWFTtXWvNeBVf
Soon Israel itaanza tumia US Satellite Laser Weapon, hii ni moto wa jehanamu
Comrade, huku naona unaelekea kuvuka mipaka. Yaani unaingilia maisha na uhuru wa mtu. Vipi akikuambia hana huyo mke wa kumhudumia! Utachukua jukumu la kwenda kumhudumia?Chief huna hata mke wa kuhudumia usiku huu?maana kutwa nilikuwa nakusoma humu na hizi mada zako basi imeshakuwa usiku tafuta kingine cha kufanya.