Jamaa kavuta bangi za wapi sijui...

Jamaa kavuta bangi za wapi sijui...

Hiyo Bange itakuwa ya mzakwe kule makutupora Dom - kitu haja kubwa kimemikisiwa
 
ganja haihusiki..huyo alicheza kamari na akaliwa,hapo analipia kwa kuogelea mtaroni

hii staili inaitwa kishika uchumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom