Jamaa kavuta bangi za wapi sijui...

Jamaa kavuta bangi za wapi sijui...

Tena kama sio mgonjwa kichwan basi bangi imehusika kwa mara ya kwanza
 
Hizo zote ni ndoto za ccm imefanya vijana wadogo wakose ELIMU na eti HAPA KAZI TU


Pokea hiyo kodi 026040218




$wissme
 
Dah! 😳😳😳 Imenisikitisha, badala ya kucheka nimejikuta nikimhurumia... 😕😕😕
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom