Jamaa kaongeza mke wa pili

Jamaa kaongeza mke wa pili

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Hii kitu inaendelea sasa hapa hapa nchini.
Nimekuwa nikipewa taarifa hizi kwa Muda na weekend hii nimezithibitisha Mwenyewe.

Ni katika mkusanyiko wa nyumba tatu za mmiliki mmoja zote ziko ndani ya Fensi Moja, Nyumba mbili zimepangishwa na moja anaishi kijana wa mwenyewe nyumba, Familia hizi tatu zimekuwa apo kwa muda wa zaidi ya miaka sita sasa.

Miata Miwili iliyopita mmoja wa Wapangaji alikuwa akiishi mke wake, mtoto mmoja pamoja na mdodo (binti) wake aliyekuwa akisoma Ordinaly Level Secondary, Kijana wa Mwenye Nyumba akaanzisha mahusiano na huyu Binti, Mahusiano hayo hayakuwa na tija kwa upande wa binti sababu ilifikia hatua anaamka asubuhi badala ya kwenda shule anaingia nyumba ya pili kwa kijana, mwisho wa siku mahusiano hayo hayakuwa siri tena kwa familia zote tatu, bahati mbaya ni kwamba Kijana akaja kumtosa huyo binti (miaka miwili iliyopota) na kuanza mahusiano mengine na binti tofauti, ikawa sio siri tena kitu kilichomchanganya sana binti yule jirani, Matokeo ya Form four binti akazungusha ziro na kurudi kwao Kigoma.

Katikati ya Mwaka jana, kijana akaanzisha mahusiano na Mke wa jamaa aliyekuwa anachukuliwa dada yake, nayo ikafikia hatua ikawa sio siri tena hasa kwa huyu jirani mwingine, mme mtu hakuweza kujua sababu ya ubize na au kukosa informa. Jirani wa tatu akaanza kumkanya huyu mtoto wa mwenye nyumba juu ya uhusiano huo ukizingatia tayari alipata kuwa na mahusiano na mdogo wa damu wa jamaa, wapi hakusikia,

Mwanzo wa malipo ulianza siku jirani mwema alipomkuta mtoto wa mwenye nyumba amemuweka mtu kati Girl friend wake, jamaa anadai siku husika binti akiwa anaenda kumtembelea na akampigia simu kumuambia ndo kashuka kwenye gari nje ya geti lakini cha ajabu akashngaa zaidi ya dakika kumi mtu haingii ndani akatoka nje ndo akamkuta jamaa anamtongoza, binti akaingia ndani na kuwaacha jamaa nje, jamaa hakumuuliza kitu akarudi ndani ambako binti alikiri kwamba huyo kijana ameanza kumtongoza muda mrefu sana na anatumia maneno ya kejeri sana kwa jamaa.n.k

Jamaa akaamua kukata mzizi wa fitina akamueleza mwenye kuchukuliwa mke mwanzo mwisho, na hata baada ya kutega mitego two times kwa ajiri ya kuhakikisha, kijana mwenye nyumba anenda kumtafuta mke wa mtu kwenye kitanda cha ndoa.

Siku ya siku, Jamaa akategewa mtego akaingia ndani ya kumi nane, wakiwa uchi wa mnyama mwenye mke na jirani mwema wakaingia vuuuu, funga jamaa kamba, na kumtoa mke kumpeleka ndani kwa jirani mwema akiwa na girl friend wa jamaa, kule ndani jamaa mwenye mke, akamla jicho mgoni wake, na akamfanyia kwa zaidi ya masaa mawili, kisha wamamuachia na kumkanya asimuambie mtu ama sivyo watamwaga picha zote hadharani. ikawa siri.

Baada ya siku tatu, wakamgongea mlango wake, alipofungua wakaingia ndani, jamaa akamla jicho tena "at the gun point" na picha wakachukua, na kumueleza iwe siri, jamaa akakubari, ikaendela namna hiyo.

Ilipofikia sasa ni kwamba kama mke wa Jamaa kasafirii, usiku jamaa anafuatwa, anapika kwanza, wanakula na kisha anachapwa nao, wife akiwepo nyumbani, jamaa anapigiwa simu anaupeleka hotelini anachapwa nao, wao wanamuita mke wa pili, anatia huruma, Japo sio fair.

wala wake za watu na wasio na heshima kwa familia za wenzao, mjirekebishe.
 
Kama hilo jicho limeliwa mara nyingi, jamaa si atakuwa kapoteza uwezo wa kuona sasa?

Ni kwamba kawa second wife, ila nimeshauri jamaa amueleze mshikaji aache hiyo kitu mara moja, sababu ipo siku jamaa akiamua kustopisha mchezo anaofanyiwa akafanya mauaji kabisa.
 
mi hata sielewi. Jamaa kamchapa mke wa jamaa ambae ni dada yake wa damu na jirani wa tatu etc. too complex, na sijaelewa sisi kama wasomaji tunatakiwa kuingilia wapi hili saga... :thinking: :gossip: :confused2:
 
huyo jamaa atawezaje kuwa anakula jicho mara kwa mara au ulikuwa mchezo wake wa siku zote!
 
mi hata sielewi. Jamaa kamchapa mke wa jamaa ambae ni dada yake wa damu na jirani wa tatu etc. too complex, na sijaelewa sisi kama wasomaji tunatakiwa kuingilia wapi hili saga... :thinking: :gossip: :confused2:

Conclusion ni kwamba wanaume waache mchezo wa kusarandia wake za watu...kijana kamla mke wa mtu, baada ya kugundulika yeye ndio analiwa KABANG sasa tena kwa appointment!!
 
Hizi story mimi sichangii_napita tu...sorry.
 
mi hata sielewi. Jamaa kamchapa mke wa jamaa ambae ni dada yake wa damu na jirani wa tatu etc. too complex, na sijaelewa sisi kama wasomaji tunatakiwa kuingilia wapi hili saga... :thinking: :gossip: :confused2:

Mwali
leo utakuwa na stress nyingi sana.
 
khaaaa na huyo mume ptuuuuu wezere la kiume ...ni ugoni tu au ni mla wezere la kiume tu kawaida?
 
Conclusion ni kwamba wanaume waache mchezo wa kusarandia wake za watu...kijana kamla mke wa mtu, baada ya kugundulika yeye ndio analiwa KABANG sasa tena kwa appointment!!
OMG, is that what he says?
 
khaaaa na huyo mume ptuuuuu wezere la kiume ...ni ugoni tu au ni mla wezere la kiume tu kawaida?

Hivi kuna wala wezere la kiume tu au wao ni kokote na la kike akilipata anakula tu ?
 
Kila mla cha mwenzie na chake huliwa,..lakini sio fair jamaa mbona chake kinaliwa mara nyingi?
 
Mwali
leo utakuwa na stress nyingi sana.
watu wanataka kuweka details nyingi hadi story inachanganya
kwanini hakuwapanga majina hawa "jamaa" wote? A, B, C etc
then ni kama wote walikua na mahusiano, huyu na mke wa yule
yule na mdogo wake na huyu, huyu nae na jirani wa yule etc
Mi nimeshindwa kuelewa kwa kweli...
 
OMG, is that what he says?

Soma hapa mpendwa kwenye conclusion yake mtoa mada...

"Ilipofikia sasa ni kwamba kama mke wa Jamaa(mwenye mke) kasafirii, usiku jamaa(mliwa kiboga) anafuatwa, anapika kwanza, wanakula na kisha anachapwa nao, wife akiwepo nyumbani, jamaa(mliwa kiboga) anapigiwa simu anaupeleka hotelini anachapwa nao, wao wanamuita mke wa pili(mliwa kiboga), anatia huruma, Japo sio fair."
 
I still don't get it. but if you say so...
 
Te te te jamani you must learn ati mtu kukubaliwa na mke wa mtu unajiona kidume kuna jamaa wa rockcity alshafanyiwa hivo hapa a.town akanywa sumu!
 
I still don't get it. but if you say so...

Hahaha...leo umepatikana loh!!!

Kifupi ni kama nilivyokueleza hapo juu mpendwa...mkware kapatikana na adhabu yake ni kuliwa KABANG reguraly na kuna wakati huwa anaenda kumpikia chakula mwanaume anayemla kiboga...
 
Kwa hiyari au kwa kulazimishwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom