Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Utashangaa na itakushtaajabisha lakini ndio yametokea.
Huyu brother mke wake ni mtu wa Tanga ,na yeye ni mtu wa Kaskazini,ila maisha yake ni Darslam.
Ni kipindi kirefu tangu alivyo oa,hakufika kwa wakwe zake hii ni kutokana na jamaa kuwa busy na kazi.
Kutokana na kipindi kirefu mama kutomuona binti yake aliamua kufunga safari ya kwenda Dar kuwasalimia.Na hapo ndipo mambo yakabadilika.
Mama akawa amempenda mkwe wake na kijana nae kashindwa kuvumilia wakajikuta wamekuwa wapenzi.Mapenzi yamenoga mama katiwa mimba na Mama kwenda Tanga hataki.
Mke bado hajashtukia mchezo.
Tumpe ushauri huyu ndugu yetu.mimi binafsi nimeshindwa chakumshauri ndio maana nimelileta kwenu.