samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,232
Jamani hii lugha ya malkia au kuongea(kutema yai) inabidi kwenda tuition. Jamaa yangu kaniambia kasafiri siti moja na msichana mkali mrembo, binti mcheshi toka Moshi hadi Dar kwa basi. Jamaa si akawa hana la kusema hata kulianzisha mhhh. Basi anajilaumu.twisheni muhimu