Jamaa huyu noma!!

Jamaa huyu noma!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji almanusura atwae kombe! Na ndipo mshndi wa kwanza alipojitokeza na kuwafunika wote kwa kula ugali mkubwa na ugali mdogo kama mboga!
 
hahahahhahaha umetupiga kamba,nimeiruka hiyo.
 
Majaji wamechakachua matokeo bhana mm sikubali
 
je aliyekula ugali na kijasho chembamba kutoka usoni mnampa nini??
 
Back
Top Bottom