Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Hujaelewa picha bro[emoji1] [emoji1] [emoji1] yeye ana maanisha mwenye duka kaweka iyo misumari ili watu wasiwe wana kaa kwenye sehem ya nje ya duka lakeAngalia usawa wa miguu yake na pia ukiangalia kwa makin utaona amekalia kitu si hapo kwenye hiyo misumali
Hataki ofisi yake igeuzwe kijiwejamaa ana roho mbaya
Kwahyo ikifika asubuhi anafungua ?