Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,079
Weka picha
Jamani hii kali,kunajamaa kashitakiwa kwawazee na mkewe kisa kazidisha kupiga puchu.Imefikia mahali mume anaweza kuahirisha gemu usiku mkali aingie bafuni afanye yake!Je huu ni ugonjwa ama nikawaida?