Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
OLESAIDIMU, Snowwhite njooni hapa
Last edited by a moderator:
Nina miaka 24 na diploma in aviation studies.
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
Wala siku chepuka sijui kwa nini ina ni touch hata mimi najishangaa infact i think i like the idea of being a single mom.
kumbe kijeba kabisa? You sound 15.Nina miaka 24 na diploma in aviation studies.
Wala siku chepuka sijui kwa nini ina ni touch hata mimi najishangaa infact i think i like the idea of being a single mom.
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
DNA kwa ufahamu wangu inapimwa kwa mkemia mkuu wa serikali. Huo ujanja ujanja sidhani kama unaweza kufanyika. Wakati wa kupima nenda na ndugu unayemwamini. Kwanza hawapimi bila ushauri nasaha
infact i think i like the idea of being a single mom.
nipe mimi hiyo hela nipike uji wa futari lol
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
hahahaha miss neddy kwa hiyo mtoto ake na njaa.....
Hahaha fursa eeeh afu nimekumisije em mpm mwekundu niwakute hapo serena
Isije ikawa anajifanya anataka dna lakini kumbe anataka kufanya mambo ya tamthilia kubadilisha damu huko hospitali ionekane sio yake au wapange na hao watu wa lab ndo maana nimechanganyikiwa sabubu nikimwambia sitaki nitampa nguvu.
hajaanza kula uji hata wiki hakana ujue