T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,445 Reaction score 8,418 Jan 21, 2013 #1 Jamaa anapunga upepo kwa raha zake.
Blue G JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 5,339 Reaction score 3,674 Jan 21, 2013 #2 Ndo hivyo kama unaona wivu nenda na we ukakae kama huogopi.
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Jan 21, 2013 #3 Hivi aje mtu mwenye degree ya masihara amsukume huyu, balaa lake...!
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jan 21, 2013 #4 Anabeep kifo eenh?
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Jan 21, 2013 #5 Nikionaga vitu kama hizi roho yangu inashtukashtuka sijui leo night ndoto zangu itakuwaje.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 21, 2013 #6 Mashrti ya Free Mason