Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
The higher the risk, the higher the return, sasa huyu return yake ni nini?
UMEONA WAVUTA BANGI STEAM ZETU ZIPO KWENYE MAMBO YA HATARI...tutake radhi wazee wa meditationhuwezi fanya hivyo kama hujavuta bangi
UMEONA WAVUTA BANGI STEAM ZETU ZIPO KWENYE MAMBO YA HATARI...tutake radhi wazee wa meditation
nawewe hiyo hapo na chui...ulikuwa mikumiha ha ha! kwahiyo avatar yako hapo ulikua unafanya hiyo "meditesheni"?
nawewe hiyo hapo na chui...ulikuwa mikumi
na kweli you name na avator yako mnaendana kabisaBora hiyo kitu iliyo kwenye avatar yangu kuliko ile mambo za KINANA!
huyu nae sijui akimaliza kuitegeneza akiivuta huwenda nae akakafanya hivyo kama mwenzie.
View attachment 107144
Bila shaka huyu ni Safari_ni_Safari
Safari ni safari ni mzee sana.
Mzee lakini akili zake hapan'shaka anatumia hiyo kitu
Safari ni safari ni mzee sana.
Wee mtoto shika adabu.....mimi mtu mzima sio mzee