Jamaa ana haki ya kubebeshwa mizigo yote

Jamaa ana haki ya kubebeshwa mizigo yote

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11403374_660121070754756_1085782309239614499_n.jpg
 
Haina jinsi mtabeba tuu...hahahah
 
pochi lake sibebi ng'o labda papuchi lake
 
Wanawake wa kiamerika wanaipenda sana hiyo. Na hapo wangekuwa na mtoto ni mme ndo angekuwa amebeba.
 
We utakubali dereva wako aende na shemeji shopping kama hivyo? Tena dereva mwenyewe kijana hivyo?

sio suala la kukubali au kukataa... wewe uko mzigoni, umeagiza ukirudi futari la nguvu... aendeje sokoni? Salamander atakupeleka, sasa unataka nini tena? Siku hizi mifoleni hii anatakiwa dereva kijana kuikabili...
 
Sio foleni tu, kuna shughuli nyingi zinatakiwa vijana kuzikabili.
 
Back
Top Bottom