Wanaume na sie sa zingine hata hatueleweki...hata wanyama wana nafuu!.... AIBU hivia ndo kusema jamaa alishindwa kuwa na huruma na mwenzie au ndo tamaa zilimzidi..!!!!
yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaInasikitisha lkn ndivyo ilivyokuwa, jirani yangu mkewe ni mgonjwa muda mrefu ,amelala kitandani muda mreeefu. ndg na mawifi ndio wanamshughulikia pale alipo. kumbe jamaa siku kwa siku anapiga mzigo. ugonjwa ukazidi mara kutapika nk. ikabidi wakampime hospitali (alikuwa akitibiwa kienyeji baaada ya ushauli wa madaktari) akakutwa na mimba. AIBU hivia ndo kusema jamaa alishindwa kuwa na huruma na mwenzie au ndo tamaa zilimzidi..!!!!
Wanaume na sie sa zingine hata hatueleweki...hata wanyama wana nafuu!
tunajuaje mwanamke naye hakuomba kuhudumiwa?
tunajuaje mwanamke naye hakuomba kuhudumiwa?
Hapa mie nakiri niliwahi kufanya haka kamchezo wakati mwenzangu akiwa mgonjwa.mi nashangaa watu mnavyomlaumu huyo mume, mnajuaje labda mgonjwa mwenyewe ndo alitaka mchezo? naamini watu wengi, wakiwa katika hali ya ugonjwa kias cha kutoweza kuwaridhisha wepenz wao huwa wanakuwa na wivu sana wakihisi pengine wapenz wao wanapata starehe pengine, na pengine huyo mgonjwa alikuwa hivyo akaomba kamchezo!
Hapa mie nakiri niliwahi kufanya haka kamchezo wakati mwenzangu akiwa mgonjwa.
Sie tulikuwa na kawaida ya kubanjuka kila wkend, sasa huyu gf wangu akawa anaumwa.
wk ya kwanza ikapita ( kila mtu anakaa kwake) ila nikamtembelea.
Wiki ya pili akaniita akaniambia "najua una ham sana ila nataka leo tufanye taratibu taratibu ile staili ya kizembe" mie mwanzoni nilimkatalia kuwa mie nitamsubiri mpaka apone.
akagoma matokeo yake akaanza kutoa lawama nimewezaje kuvumilia wk 2 wakati kila mara huwa nalalama kuwa siwezi kuvumilia? au ninamwanamke mwingine anaenipooza. Hii ni kutokana na historia ya mahusiano yetu.(kula kila wkend)
Nikawa sijajinsi nisimfanye apoteze iman na mimi, kikamega tunda kwa staili aliyopendekeza siku ikapita na maisha yakaendelea. Ila hakupata ujauzito.