Jamaa amemtongoza mke wake bila kujua..

Jamaa amemtongoza mke wake bila kujua..

Jamaa yangu anaomba ushauri wa haraka (Fast truck)
KIsa kilikua hivi...
Wife kang'amua username ya jamaa ya JF. bila jama kuusoma mchezo.
Wife katengeza acount kaweka na profile picture ya kuvutia...(Bonge la Msambwanda)🙄🙄🙄
Baada ya hapo wife akamsearch jamaa na kuanza kumchombeza jamaa, kwa kum-quote quote jamaa plus vi inbox....Jamaa akaingia kingi bila break..😱😱😱Wakapanga hadi appointment...
Sasa wakati jamaa anaondoka nyumbani..wife akamuuliza unaenda wapi...Jamaa akajibu nmeitwa kazini kuna emmergency😎😎😎. Alipotoka wife akampandia hewani na kumwambia ukweli...
Jamaa kwa aibu ikabidi apitie kwangu ili nimpe ushauri..Sijui nimshauri nini?

Wakuu nitaanza kuamini kuwa humu JF hakuna watu Makini Kabisa.. Huyu Jamaa kama ndiyo yamekukuta hukupashwa kuileta tena humuu kwa kuwa unazidi kuwasha Moto au kama siyo basi hii ni Fabricated Story.

Ebu Jiulize, Umesema wazi kuwa huyo Mwanamke ni Member JF halafu alivyokuja Kugundulika baada ya kuchanwa na Mke wake Amekuja kwako, na Baada ya Kuja kwako akiamini kuwa utampa Ushauri na wewe Umeirudisha Humu Ambako Mke wake yumo Pia. Kwa Maana Nyingine vyote mtakavyosema juu ya Hili Tatizo Mkewe anajua na Atajua. Swali la Harakaharaka Je Unaamini kuwa Umemsaidia huyo Jamaa yako au Ndio Umezidi kuwasha moto?

JF is no longer a Greater Thinker anymore.

Wonders will never end.... Sioni Unachokifanya kabisa
 
Asee
Usikute huyo wife naye ni mmoja wa wachangiaji kwenye hii thread
 
Hapo na game alikua ashakubaliwa, mwambie arudi akampooze wife kwa game la nguvu pia budget alokua amepanga kuitumia anunue japo kazawadi ka kuzugia
 
Umalaya ukizidi mwishowee mtatongoza hadi dada zenu siku mnakutana chemba kumbe you sister hapo pamekaaje!
 
Ngumu kumeza hahaha kweli tamaa mbaya tusidanganywe na avatar feki
 
Back
Top Bottom