ndiwoooKwahiyo ushauri tunatoa na wote wanausoma si ndio!! Teh teh teeeh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ndiwooo
Kumbuka wote ni members, kwahiyo hii strategy wanaisoma wote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanamke auziwe jumba kwanini anajipendekeza kwa wanaume mtandaoni!!
Umemaliza kabisa...wote memberKumbuka wote ni members, kwahiyo hii strategy wanaisoma wote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wanaume wengi wanachepuka kwa tamaa wala cyo kwamba kuna vitu wanakosaInasikitisha sana...
Majaribu ni sehemu ya maisha... Ajikaze tu arudi kwake akasuluhishe aibu yake...
Hapo mke pia inabidi sasa atafakari... Hayo mambo aliyokuwa anamfanyia mumewe mpaka kuweza kumrubuni ni mambo ambayo mume wake ana ya miss.. Anendelee kumfanyia...
Cc: mahondaw
Za mwizi zilikuwa zimefika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kosa Lipo kwa mke aliyefungua account fake kwa penzi fake. Huwezi kumwingiza mtu kwenye majaribu ili baadaye uje kutoa lawama.
Pia,huyo mke pamoja n kukosa nia njema kwa JAMAA isije kuwa ni mzoefu wa kujitongozesha kwa wanaume. Huenda hata mitandao mwingine anaxo account za namna hiyo na anafunuliwa ovyo.
😀😀😀Sasa wakati jamaa anaondoka nyumbani..wife akamuuliza unaenda wapi...Jamaa akajibu nmeitwa kazini kuna emmergency😎😎😎.