Jamaa amemtongoza mke wake bila kujua..

Jamaa amemtongoza mke wake bila kujua..

Wakuu nitaanza kuamini kuwa humu JF hakuna watu Makini Kabisa.. Huyu Jamaa kama ndiyo yamekukuta hukupashwa kuileta tena humuu kwa kuwa unazidi kuwasha Moto au kama siyo basi hii ni Fabricated Story.

Ebu Jiulize, Umesema wazi kuwa huyo Mwanamke ni Member JF halafu alivyokuja Kugundulika baada ya kuchanwa na Mke wake Amekuja kwako, na Baada ya Kuja kwako akiamini kuwa utampa Ushauri na wewe Umeirudisha Humu Ambako Mke wake yumo Pia. Kwa Maana Nyingine vyote mtakavyosema juu ya Hili Tatizo Mkewe anajua na Atajua. Swali la Harakaharaka Je Unaamini kuwa Umemsaidia huyo Jamaa yako au Ndio Umezidi kuwasha moto?

JF is no longer a Greater Thinker anymore.

Wonders will never end.... Sioni Unachokifanya kabisa
Nimeshindwa kumshauri..so nimekuja humu kuomba nondo...
 
Asubir my wife wake atakuja kumshauri si yupo hapa JF!!!

Mambo mengine ya kisengerema, unaombaje ushaur wakat unatambua wote wapo hapa JF na wote wana access ya huo ushaur unaotolewa hapa kwa mtu mmoja.

Kwa akili hizi ndo maana wazungu wanatuibia hadi makinika
Nimecheka hadi machoziiii
 
Inasikitisha sana...

Majaribu ni sehemu ya maisha... Ajikaze tu arudi kwake akasuluhishe aibu yake...

Hapo mke pia inabidi sasa atafakari... Hayo mambo aliyokuwa anamfanyia mumewe mpaka kuweza kumrubuni ni mambo ambayo mume wake ana ya miss.. Anendelee kumfanyia...


Cc: mahondaw
 
Hapo ndipo inakuwa ngumu kujua 'mwanamke' anataka nini. Sio rahisi kumuelewa mwanamke nadhani hata ukaishi nae miaka 10, mlio-oa mtupe validation ya hili jambo.

"Yaani ufungue akaunti na uanze kumchombeza mume au mpenzi wako kwa social media....nini tatizo? hujiamini kama upo peke yako au unajiona kiwango chako ni cha chini?"

Hebu jiulize "Hadi anakuja kukuchagua wewe uwe wake...hao wengine huko nje hakuwaona au? sasa kwanini usichukue muda huo kujua mumeo au mpenzi wako anataka nini au anapendezewa na mwanamke mwenye muonekano gani .e.g., labda wewe una kitambiii na yeye anataka portable asiye na kitambi...hivyo ukajiongeza kwa kufanya diet au mazoezi ili uwe kama zamani?

Ni kweli sisi wanaume ni wa-dahaifu hasa kwa mwanamke aliyejaliwa kwa uzuri na umbo la kuvutia "simaanishi lazima awe na mzigo no...hata flat screen wengi ni wazuri na wanavutia sana , LAKINI kitendo cha mwanamke kutojikubali ulivyo na ukaona haitoshi ukaenda kweka picha ya zigooo la kuvunja chaga kisa kumtega mume wako...hapo ni kutojitendea haki na kutojiamini".

Naamini kila mwanamke ni MZURI, NA WAZURI WAPO WENGI LAKINI SIO KILA MWANAMKE MZURI ANAFAA KUOLEWA/KUWA MKE.

Hii pia ipo applicable kwa sisi wanaume. Sio kila mwanaume anafaa kuwa mume, japo wanaume ni wengi ILA kumpata MUME ndio mtihani mkubwa kwa nyie dada zetu BUT Mungu awaongoze mpate machaguo sahihi na bora.
 
Asubir my wife wake atakuja kumshauri si yupo hapa JF!!!

Mambo mengine ya kisengerema, unaombaje ushaur wakat unatambua wote wapo hapa JF na wote wana access ya huo ushaur unaotolewa hapa kwa mtu mmoja.

Kwa akili hizi ndo maana wazungu wanatuibia hadi makinika
Nimekupenda bila ghalama.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] mwanamke shupavu anaona unavyo penda BOX MANYOYA chakufanya timiza ahadi
 
Jamaa yangu anaomba ushauri wa haraka (Fast track)
Kisa kilikua hivi...
Wife kang'amua username ya jamaa ya JF. bila jama kuusoma mchezo.
Wife katengeza acount kaweka na profile picture ya kuvutia...(Bonge la Msambwanda)🙄🙄🙄
Baada ya hapo wife akamsearch jamaa na kuanza kumchombeza jamaa, kwa kum-quote quote jamaa plus vi inbox....Jamaa akaingia kingi bila break..😱😱😱Wakapanga hadi appointment huku ikishereheshwa na makiss na ma-Ilove you yakumwaga..
Sasa wakati jamaa anaondoka nyumbani..wife akamuuliza unaenda wapi...Jamaa akajibu nmeitwa kazini kuna emmergency😎😎😎. Alipotoka wife akampandia hewani na kumwambia ukweli...
Jamaa kwa aibu ikabidi apitie kwangu ili nimpe ushauri..Sijui nimshauri nini?
Nafwaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] si mke angeenda kukutana nae ili yamshuke vzur
 
Binadamu hujifunza kulingana na makosa afanyayo,
Mwambie awe makini, na sirudie hilo kosa tena lakini pia ingekuwa vyema kama angemuomba msamaha mke wake.
 
Back
Top Bottom