Jamaa aliyepoteza waleti kwenye mnada !!!

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
Jamaa alipoteza waleti yenye shillingi laki tatu kwenye mnadaakaamua kutangaza :mabibi na mabwana nimepoteza waleti yenye shilingi laki tatu atakayeweza kuirudisha hakiaka nitampatia elfu hamsini.kukawa na kimya, baadae sauti ika sikika "elfu hamsini na mia tano"!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom