Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 131
Tatizo ni kuwanyima wateja uchaguzi wao kwani wanapokula wanadhani wanakula Mbusi, kama wanapewa taarifa kwamba wana kula mbwa na wanahiyari kufanya hivyo sioni kama ni tatizo mbona wahehe na wachina wanawatafuta sana!


