Jaluo kagoma na mzigo wake....'osiguse hii'!

Jaluo kagoma na mzigo wake....'osiguse hii'!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,266
Huyu kamanda ndiye yule bwana aliyezuiliwa kwa tuhuma za kumbaka mhudumu wa hoteli kule New York japo kesi yenyewe nasikia kua inakufa pole pole. Obama alikua keshapata tetesi kua huyu mhuni ni kiwembe!!!

a_560x400.jpg

..mkuu hii colour si mchezo..nashangaa dada zetu wanaokomaa na mikorogo...
 
Ni kweli hiyo kesi ni kama imeshakufa lakini kwenye court of public opinion ameshahukumiwa na chance ya kuwa rais wa France imeshakufa.
 
Huyu kamanda ndiye yule bwana aliyezuiliwa kwa tuhuma za kumbaka mhudumu wa hoteli kule New York japo kesi yenyewe nasikia kua inakufa pole pole. Obama alikua keshapata tetesi kua huyu mhuni ni kiwembe!!!
a_560x400.jpg
Ndio maana kamuweka pembeni nin?
 
Huyu kamanda ndiye yule bwana aliyezuiliwa kwa tuhuma za kumbaka mhudumu wa hoteli kule New York japo kesi yenyewe nasikia kua inakufa pole pole. Obama alikua keshapata tetesi kua huyu mhuni ni kiwembe!!!

a_560x400.jpg

Jamaa alikuwa anataka kupeleka mkono...Obama akamdaka mkono na kisha kumwambia, "Aaahhhhh acha hizo DSK!"
 
Hapo kuna mzakali kweli? Kibabu kimeshakufa network lakini kinajifanya bado wamo.
 
Dsk ana uwezo mkubwa wa kuwa charm wanawake
mkewe ni very rich......
Ile kesi wamembambikia tu
 
kinasosomola viagra
ndo zilimpeleka resi
akataka kumdungua
housekeeper

House keeper "mwizi" huyo wewe, umefuatilia yeti zake?
Alijipendekeza kwa babu kampelekea mpimpi kama kawa! teh teh!
 
huyu dingi hata kama ni moto wa kuotea mbali,mi sioni tatizo yote yaliyo mpata ni siasa tupu,hii yote ni kuchafuana,kukamiana na kumalizana,mfano mzuri tunao hata hapa kwetu( green party)upepo mbaya ukikuelekea lazima uanguke
 
Back
Top Bottom