Jaluo kagoma na mzigo wake....'osiguse hii'!

Ni kweli hiyo kesi ni kama imeshakufa lakini kwenye court of public opinion ameshahukumiwa na chance ya kuwa rais wa France imeshakufa.
Sio kweli mkuu. Si umesoma social party (party yake) imesimamisha mpango wa kutangaza candidates wapya baada ya jamaa fulegezewa masharti kule US? bado anachances, tungoje tuone.
 
Back
Top Bottom