Jalada ya Rugazia latupwa kwa DPP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jalada ya Rugazia latupwa kwa DPP

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by BrantCawen, Mar 14, 2011.

 1. B

  BrantCawen Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUTOKANA na wadhifa aliokuwa nao mtuhumiwa wa kesi ya usalama barabarani ya kukabiliwa na shtaka la kuua inayomkabili Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania, Protest Rugazia [56] jalaada linalohusiana na shtaka hilo limepelekwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Masht Hatua hiyo imechukuliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es alaam ili kuzingatia taratibu mbalimbali na sheria na uandaaji wa kuongoza shauri hilo.

  Kamanda wa Kova, aliwaeleza wanahabari kuwa, jeshi hilo lilishafatilia mwenendod wa ajali hiyo na tarawtibu za kiupelelzi zimeshakamilisha na kutokana na mshitakwia katika shauri hilo kuwa na wadhiwa inatakiwa tuongozwe taratibu za mashitaka na DPP.

  Katika kesi hiyo, Jaji Rugazia anakabiliwa na shitaka la kusababisha kifo cha mtembea kwa miguu, aliyetambulika kwa jina la Salehe Omary, mkazi wa Msasani, Dar es Salaam katika barabara ya Bagamoyo, Oktoba 3 mwaka huu.

  Na aliweza kujeruhi watu wengine watatu waliotambulika kama Nasibu Hassan[28] mkazi wa Kitunda, Rahma mwanafunzi wa chuo cha IFM na Issa Idd [30] mkazi wa Kinondoni__________________________
  mother of the bride dresses
  discount wedding dresses
  mother of the groom dresses
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  HIVI TANGU OKTOBA MWAKA JANA HUYO DPP HAJAAMUA TU.

  macinkus
   
Loading...