Mdau, Jackson Makwetta siyo mbunge kwa sasa.Ombi lake la kumalizia kipindi cha JK lilikataliwa na wana magamba wakati wa kura za maoni.
Mbunge wa sasa ni Deo Sanga a.k.a Jah People.
Wenyewe wanakwambia elimu si hoja,hoja ya msingi ni kudeliver!!!Ukitaka kujua Dunia kuna vituko, Ulizia kiwango cha elimu ya Jah Pipo.
We Maria roza watoto unawataka tena? mbona hapa town wako masharo kibaoNilidhani ame RIP ahh anawatoto nae kama jk!!!
mara ya mwisho nilimuona amekonda loooh labda atakuwa na kisukari.!!
'afu huyu jamaa nasikia ana fweza. Ndo maana wakamchagu. Maana ninavyojua wazee wa kibena wanawapenda watu wenye mshiko. Hata Makweta mwaka 2005 alipita kwa fweza. Alikuwa anagawia chooni, akiwahonga wajumbe walioshiriki mchakato wa kumchagua mbunge wa ccm.Wenyewe wanakwambia elimu si hoja,hoja ya msingi ni kudeliver!!!
mara ya mwisho nilimuona amekonda loooh labda atakuwa na kisukari.!!
The Makwetta commission. Sasa hivi imeingia hadi kwenye mtaala wa chuo kikuu ikiitwa Makwetta commssion hivyo hivyo. Huyu jamaa alikuwa na mitazamo ya mbali sana juu ya nchi yetu. Hata hivyo kwa kiasi fulani alijitahidi kutekeleza mawazo haya kwa vitendo kule Njombe alipokuja na approach ya shule za wazazi, strategy ambayo iliigwa na wengi.Huyu makweta msimbonde jamani. Unajua yeye ndio waziri wa elimu aliyemshauri Nyerere mwaka 1983 tanzania ijenge secondari mpaka ngazi za kata? Alikuwa chapa kazi kweli na kila alilotaka kufanya , yeye alilifanyia survey. Hoja ya mwaka 1983 ingekubaliwa na nyerere tungefika mbali sana kwa kusomesha vijana wetu kuwapita hata Kenya na Uganda.
mara ya mwisho nilimuona amekonda loooh labda atakuwa na kisukari.!!
Mkuu hii Post yako nimeipenda... ifungulie thread kule kwenye Jokes... ila edit kuandikia iwe kumwandikia Lol...nakumbuka jokes ya makweta pale wizara ya elimu tarehe 23/3/83 saa tano asubuhi katika mkutano wa wafanyakazi wote: alisema kiongozi hatakiwi kabisaa kuandikia hotuba bali anatakiwa kubuni yeye mwenyewe nini aseme kwa wananchi. Alisema ilitokea wakati fulani kiongozi fulani alitakiwa kutoa ripoti ya matatizo ya ufugaji wa mifugo tanzania. sasa yeye aliomba watu wamwandikie hotuba ili akaitoe huko Ufaransa. alipoandikia yeye aliiweka katika briefcase na kupaaa majuu bila ya kuihariri. katika mkutano alipofungua utangulizi wa hotuba ulianza vizuri sana na ufugaji wa mifugo Tanznaia ulivyo wa kizamani. Ila alipoendelea page ya pili alikuta jamaa zake wamemuandikia matokeo ya ligi kuu tanzania na jinsi cocha wa nyeta nyekundu, alivyopata kazi nyekundu tatu! mara page ya tatu kuna habari Kifo cha mchezaji wa simba mech na kala rovers ya nigeria,na uwanja wa kaunda usivyo na ukuta imara! Jamaa alitoka jasho na kila akifungua page anakuta mambo ya ligi kuu tanzania tuu! alijaribu labda page ya mwisho atakuta labda kuna uchogo msamaha, lakini alikua ndio kuna matatizo ya kuhama wanamuziki wa sikinde!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unajua mwenyewe kilichomkuta alipokutana na nyerere hapa nyumbani! makweta kwa hiyo mimi jokes,simsahau milele jinsi nilivyocheka!