Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,283
Stop charging in foreign currency-JK

By Correspondent

20th June 2015

JK-20June2015(3).jpg

President Jakaya Kikwete

President Jakaya Kikwete has warned school owners and other business entities operating in the country to immediately stop charging Tanzanians in foreign currency, taking them to task into adhering to the national monetary policy.

The President issued the warning on Wednesday night when talking to Tanzanian Diaspora in New Delhi in his first day of the four-day official visit in the Indian sub-continent at the invitation of his counterpart President Pranad Mukherjee.

The Diaspora had been moved by headlines in Tanzanian media that the local market was overwhelmed by foreign currency transactions including instances of dual pricing in some services involving apartment rentals, fee payments in English medium international schools, supermarkets and hotels.

But in the past six months following the drastic plunge of shilling caused by deficiency of dollar in the circulation, allegedly hoarded by a group of people stashing the currency abroad amid the violent October Elections phobia, American dollar has conspicuously come out of its closets to sell openly even among the small scale businesses.

He said a Tanzanian should not be forced into paying bills in foreign currency, but foreigners in designated areas.

Meanwhile, the members of Diaspora also wanted to know about the state of affairs in the recent Escrow Tegeta account corruption scandal that shook the nation, caused the political demise of some politicians and plunged the popular rating of Kikwete’s government into record low.

“We have empowered institutions such as the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Public Procurement Regulatory Authority (PPRA), Controller and Accounts General (CAG) office and ensure that the reports issued are openly discussed in the Parliament”, said the President implying steps his government has taken in dealing with corruption.

However, he said the fight against corruption is a sophisticated and diversified phenomenon that it needs collective efforts that will include the government, the public and other stakeholders to overcome.

He said PCCB and other institutions have been given more mandate to deal with corruption related cases now compared to 2005, adding “their power has increased 10 folds” following the increase in corruption-related cases.


When he was taken to task over a number of accidents that have taken thousands of his compatriots victims of death in the past three years, President Kikwete simply answered that the road accidents were mostly due to laziness caused by drivers who systematically violate traffic rules that include taking alcohol and reckless driving.

SOURCE: THE GUARDIAN


CC: Tized, Mr Rocky, Fixed Point, lyinga, measkron, NATA, Chakaza, Elly B, Ablessed, Michelle, everlenk, KikulachoChako, Emma, EMT, Alinda, Daudi Mchambuzi, Arushaone, MziziMkavu, Ablessed, afrodenzi, Heaven on Earth, Power to the People, Jasusi, Eiyer, idawa, nguruvi, Mentor, Sikonge, Dingswayo, MANI, tpaul, Bramo, Bulesi Bulldog, Sangarara, MTAZAMO, Erythrocyte, Mag3, Mimibaba, zumbemkuu, Crashwise, amkawewe, Idimi, Ogah, Chakaza, mshana jr, JokaKuu, MWALLA, genekai, PRINCE CROWN, Tuko, Shark, lynxeffect22, samaki2011, MoudyBoka, adolay, Elli, nyabhingi, Janjaweed, S.N.Jilala, MEANDU, Tabby, Candid Scope, Honolulu, August, dyuteromaikota, BONGOLALA, Gefu, Bigirita, Kozo Okamoto, Shark, mirisho pm, Camp 05, Ngoami, Kamakabuzi, jerrytz, josam





 
Last edited by a moderator:
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Mkuu nashangaa eti malipo ya kisimbuzi wanachaji kwa dola. Mfano azam eti wamepandisha viwango kisa dola imepanda
 
Jamaa anashangaza sana aisee, miaka 10 kauchuna kimya huku Watanzania tukipiga kelele za kutosha hili la Watanzania kulipa kwa dollar katika mambo mbali mbali nchini. Nakumbuka hapa kulikuwa na mjadala mzito kuhusu issue hii na magazeti mengi nchini yaliandika kwa kina, lakini akaendelea kuuchuna tu. Kabakisha miezi mitatu ndiyo anatoa kauli kama hii tena baada ya kuulizwa swali akiwa India. Hakustahili kabisa huyu kuwa kiongozi wa nchi yetu kaiacha katika hali mbaya sana kuliko alivyoikuta. Bado anaendelea na safari yake ya kuaga nchi za nje, pamoja kujua nchi haina pesa na safari zake zinaongeza deni la Taifa wala hajali anatanua tu.

Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

Toa Elimu ya Raia kwa Mpiga Kura ili tupate Viongozi Bora.Nchi ni yetu sote hakuna m-badala.
 
Jamaa anashangaza sana aisee, miaka 10 kauchuna kimya huku Watanzania tukipiga kelele za kutosha hili la Watanzania kulipa kwa dollar katika mambo mbali mbali nchini. Nakumbuka hapa kulikuwa na mjadala mzito kuhusu issue hii na magazeti mengi nchini yaliandika kwa kina, lakini akaendelea kuuchuna tu. Kabakisha miezi mitatu ndiyo anatoa kauli kama hii tena baada ya kuulizwa swali akiwa India. Hakustahili kabisa huyu kuwa kiongozi wa nchi yetu kaiacha katika hali mbaya sana kuliko alivyoikuta. Bado anaendelea na safri yake ya kuaga nchi za nje, pamoja kujua nchi haina pesa na safri zake zinaongeza deni la Taifa wala hajali anatanua tu.
Bongo Viongozi wake wengi ni Wasanii tu hakuna viongozi imara. Na Wakati wa uchaguzi munawachaguwa hao hao Viongozi wasanii? Wa-Tanganyika aliye Waroga amekwisha Kufa hamuwezi Tena kupona Poleni sana.
 
Mkuu hawa hata hawachaguliwi wanaiba kura, wananunua urais kwa kutoa rushwa za mabilioni ya kifisadi. Wenyewe hawana hata woga wala aibu jinsi wanavyoiangamiza nchi kwa maamuzi yao mbali mbali ambayo hayajali kabisa maslahi ya Tanzania na Watanzania. Angalia kwa mfano hili zoezi la kuwaandikisha wapiga kura jinsi lilivyojaa uhuni wa hali ya juu kila kona nchini. Watanzania wanapiga kelele chungu nzima kuhusu mashine za BVR zinavyokwamisha Watanzania kujiandikisha lakini wahusika wa kurekebisha hali hii wameamua kupiga kimya kama vile hawahusiki.

Bongo Viongozi wake wengi ni Wasanii tu hakuna viongozi imara. Na Wakati wa uchaguzi munawachaguwa hao hao Viongozi wasanii? Wa-Tanganyika aliye Waroga amekwisha Kufa hamuwezi Tena kupona Poleni sana.
 
Huyo ni ndoroobo kwelikweli 10yrs alikuwa kimya, watu wamelalamika hakutaka kusikia.

Ameona anaondoka nalishilingi kumharibikia anakuja na mipasho.

Is he serious? No he should be joking, it can't be.
 
Linchi la kijinga kweli hili.

Umeona wapi eti hata kodi za pango la nyumba sehemu kama Sinza au Kurasini zinalipwa kwa dola?

Nchi ikiwa imejaa watu wajinga na wapumbavu kuliko ilivyo kawaida kupata maendeleo ni ndoto!

mmh,mkuu una maamuzi magum kvamka haya. Inamaana baba,mama yako na ndg zako wate bila kujiacha wewe wote ni wajinga? Pole sana kwa kuwa na familia hyo.
 
Hili jamaa lina kiburi na dharau ambayo hakuna kiongozi mwingine wa nchi hii alishawahi kuwa navyo. Hii ni kwa sababu ya katiba na linajua hamna la kulifanya. Limefanya majaribio mengi ya kuabuse wtanzania lakini limeona hakuna mwenye uwezo wa kulidhibiti na chama chake sasa linafanya wazi wazi kuamua linachotaka kufanya mchana kweupe na kwa dharau kubwa regardless vilio vya watanzania ambao kwalo ni sawa na ngedere pori.


Anaongelea kuwapa nguvu PCCB kupambana na rushwa halafu yeye ndiye kashika control button. Hawawezi kufanya asichotaka. Na hata leo hakuna anachoweza kusema matokeo chanya ya uwepo wa PCCB zaidi ya kushamiri kwa matumizi ya rushwa kwenye serikali yake na chama chake na huku akiona.

Anamdanganya nani?

Jamaa limezowea uzururaji na halina hata hoja ya msingi. Anaongelea kuzuia malipo kwa njia ya dollar kwa kuwa kabanwa alikuwa hana wachumi wa kumpa angalizo la ambacho kingetoea kwa mtidno wa kuendekeza malipo ya dollar wakati hakuna viwanda vya kuzalisha bidhaa za ku export? Jamaa bishi. Halikuwa na uwezo wa kusilikza mchumi wala mtaalam yeyeote. Kazi ilikuwa moja. Kuanzisha safari ya matumaini kwa mafisadia ambayo rafiki yake analilia ampokee ili wazidi kkufasidi nchi!.

Na hii hali ya uwongo uwongo, kiburi, dhrau ndiyo rangi ya maccm wote.

Watanzania yapigeni chini haya mashetani mwezi wa Kumi.
 
Angeulizwa miaka 10 uliyokaa madarakani kwanini hukuhakikisha unalifanyia kazi hili ili kuhakikisha sheria za malipo nchini zinafuatwa? Angeng'aa macho msanii huyu.

Anakumbuka blanket wakat kumekucha. Maisha ya kuigiza Tz yamezidi kuliko reality
 
Kwa nini aongee huko nje.Atoe Presidential order sio kuongea tu wakati uchumi unaharibika huku tukitegemea kila kitu toka nje. Wafanya biashara wa Tz kwenda China hawaendi tena.Tutaona baada ya mwezi jinsi bei zitapanda. Ukitaka kununua gari ni aibu jinsi tumekuwa kama Zimbabwe. Nyoooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Angalia KITUO nilichojiandikisha kila siku wanakuja watu zaidi ya 500 lakini karan anauwezo Wa kuandika watu 120 -150 kwa siku Leo ndo mwisho wakasema wataongeza siku 2, ukiangalia kwa makin hakuna kiongoz hata mmoja Wa serkali au ccm anayejishughulisha Na hilo jambo.Kwahesabu yYangu ya haraka KITUO kitaandika wapiga kura kama 1800 badala ya 7000. Natayari kunasehemu nyingine watu wanalalamika kuwa wameachwa lakini wahusika wameziba masikio.Baada ya muda Wa kuandika kuisha yaani ilipofikasSAA 12 jioni waliwambia waliobakikkuwa tutarudi kesho lakini kesho yake hawakuonekana. Hiv kweli jamaa wana nia ya dhat ya kufanya uchaguzi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
This guy is nothing but a bloody failure... What took him so long to realise that and respond promptly..??
And why can't he make such worthless decisions while he is in the country...?? Poor him..!! Dad
 
Watanzania ndio Tujifunze, sura haitifikishi popote, JK alochaguliwa kwa kuangalia sura wala sio utendaji wake wala uwezo. Hana uwezo. Oktoba hiyo, chagueni tena sura muone nchi itakapoishia!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anatoa amri utadhani anambembeleza mgonjwa kunywa uji...
Kiongozi imara anatakiwa aongee kwa authority...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Am I reading this right, please fellow wananchi help me understand this... the President has warned? Is this a joke? Je ameonya au ameagiza? Watu wanavunja sheria na hawakuanza leo na licha ya malalamiko ya siku nyingi Raisi analalama na kuonya. Au ndio yale yale? Nakumbuka aliwahi kuwaomba wezi warudishe walichoiba!

Bila aibu leo tena anawaonya wahalifu eti wafuate sheria, uhalifu unaofanyika mchana kweupee na wazi wazi bila kificho. Mtu aliyeapa kuilinda na kuitetea Katiba akiwa ameshika msahafu mkononi! Hata hivyo hakuna cha ajabu hapa, pamoja na upuuzi wote huu bado eti anaungwa mkono na asilimia kubwa ya Watanzania.

Kikwete anajua Mtanzania wa kawaida hawezi kuhusika na madudu kama haya, wahusika ni rafiki zake, ndugu zake na washikaji wake wanaoendelea kubaki kwenye nyadhifa zao kwa sababu anawapenda, anawatetea na anawalinda. Ni kama vile kwa hii miezi mitano iliyobaki ameamua kufanya juu chini kulihujumu taifa.

Je malengo ya kiongozi wetu huyu ni nini? Nisaidieni jamani!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom