Pole sana mkuu. Mwanachuo si mtoto. Ana umri zaidi ya miaka 18. Anajitambua. Hivyo akienda kinyume na kanuni na sheria ndogondogo za chuo, senate inapitia prospectus tu na kufanya maamuzi. Hilo halimhusu mzazi. Hayo mengine watajua mwanachuo na mzazi wake. Anachoweza kufanya ni kuandika barua kuomba msamaha kwa senate (clemency).
Vijana wengi siku hizi wanakua kiumri tu ila kichwani, uwezo wa kupambanua mambo na kufanya maamuzi sahihi ni mdogo sana. Anapofikia hatua ya kuwa intern, huyo tunaamini ni mfanyakazi ambaye yuko tayari kutoa huduma kwa jamii. Ukisema bado ana akili za kichuochuo, sasa atakua lini kiakili?
Inawezekana kosa lake ni kubwa. Mwanachuo hawezi kufukuzwa kwa kutoingia darasani mara moja au mbili. Labda utuweke wazi. Sababu ya kufukuzwa kwake ni ipi? Ingia kwenye mtandao wao (website ya chuo), download prospectus, na usome kunakohusiana na makosa na adhabu zake. Sheria huwa ziko wazi kwa kila mtu.kulikuwa hakuna haja ya kumfukuza ni kumrekebisha ukiisha mfukuza maana yake kazi aliyojifunza hawezi tena kupata,
Unaleta uchungu wa mzazi... kwenye Uhai wa watu... Kada ya afya ni kama nyeti... mwambie akasome Vitu vyengine!kulikuwa hakuna haja ya kumfukuza ni kumrekebisha ukiisha mfukuza maana yake kazi aliyojifunza hawezi tena kupata,
Kafukuzwa intern mkuu.Inawezekana kosa lake ni kubwa. Mwanachuo hawezi kufukuzwa kwa kutoingia darasani mara moja au mbili. Labda utuweke wazi. Sababu ya kufukuzwa kwake ni ipi? Ingia kwenye mtandao wao (website ya chuo), download prospectus, na usome kunakohusiana na makosa na adhabu zake. Sheria huwa ziko wazi kwa kila mtu.
Kabisa itatusaidia kujudge.Samahani naomba kujua kosa la mwanachuo husika na jinsia yake