Kwani wewe ni nani. Amini upendavyo lakini haiipinguzii wala kuiongezea chochote CDM.
Binafsi hua naamini chadema ni kundi la wahuni, yamkini wakawa na jambo linalofaa lakini mimi simfurahii sana mwanasiasa anaye ponda kila kitu hata mazuri wao hua wanatukana tu,ndiyo maana hua nawaona ni wahuni tu